Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,248
- 93,771
Basi sawa sio mbaya , ngoja aendelee kulia.Huyu mkuu nadhanii an
Mbunge mstaafu miaka mitatu iliyopita analia shida amakweli this is shithole country
Huyu mkuu anatoka Kwa kibajaji kule Kanda ya kati
Ndo huwa malimbukeni na white pussy!ile sis wakanda maalumu Ni amri moja kwa manufaa ya familiaBasi sawa sio mbaya , ngoja aendelee kulia.
Hahaaa. Nimekuja Shoga.mpk nimechok kusoma ila pole emmyta njoo utie neno hap
Ndio maana nakupenda beingsingle unanyoosha maelezo vilivyo.Mume bwege a k a bushoke katika ubora wake... Endelea kushika pembe mkuu
Ngoja ngoja kweli kabisa ,, white pussy unafanya jamaa asijue hatima yakeNdo huwa malimbukeni na white pussy!ile sis wakanda maalumu Ni amri moja kwa manufaa ya familia
Emmyta hayo siyo mapenzi ni ushamba na ulimbukeniHahaaa. Nimekuja Shoga.
Ila kuna wanaume wanajua kupenda jamaani. Chaaa. Yaani mbali visa vyote bado yumo tu.
Nimwambie tu mke au mume sio kama mzazi kwamba hawezi kubadilisha. Nikimaanisha kwamba endapo atatafuta muafaka na usipatikane hakuna haja ya kung'ang'ania zaidi ya kuangalia sehemu iliyo salama zaidi kwake.
Asante dada kwa ushauri, kweli nimechoka..Hahaaa. Nimekuja Shoga.
Ila kuna wanaume wanajua kupenda jamaani. Chaaa. Yaani mbali visa vyote bado yumo tu.
Nimwambie tu mke au mume sio kama mzazi kwamba hawezi kubadilisha. Nikimaanisha kwamba endapo atatafuta muafaka na usipatikane hakuna haja ya kung'ang'ania zaidi ya kuangalia sehemu iliyo salama zaidi kwake.
Ndio mwenyewe kaona yanamfaa sababu mpaka kayaunda mashairi hivyo ujue bado anampenda mkewe hapo.Emmyta hayo siyo mapenzi ni ushamba na ulimbukeni
Pole sana.Asante dada kwa ushauri, kweli nimechoka..
Ni mimi mkuu. Hii dunia usiombe ikushike pabaya.
Mapenzi baba mapenziii... Subiri nawewe yakukute...Nmesoma kwa kuruka ruka sana ILA AMINI nakuambia wanaume km we ndo mnafanya Specie yetu Kupotea kwa kasi ya Ajabu sana.
Mann haya uloandika ?? Ivi inakuaje Mwanamme inafikia muda unakubaliana nahali ya mkeo kua "Anakutesa?" Inakuaje hiii??.
Look kwa mambo hayo acha niambiwe sijui mapenzi ,mshamba majina yote huwezi nifanya msukule kwa kisingizio Cha mapenzi.ote naiyoNdio mwenyewe kaona yanamfaa sababu mpaka kayaunda mashairi hivyo ujue bado anampenda mkewe hapo.
Ila mapenzi bwana acha tu yaitwe mapenzi aisee