dustless
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 796
- 713
Ewe mama Aisha wangu kipenzi cha moyo wangu, najua unafahamu ninavyokupenda tangu ukiwa f6 mpaka leo tuko ndani ya ndoa zaidi ya miaka miwili sasa.
Unajua kiasi gani nimespend kukufanya alwayz moyo wako ufarahi, kama kutoka out regularly tumetoka sana tu, pamba safi, salon nzuri na wakati mwingine classic beach tumespend vya kutosha. Huwa sioni tabu ili mrad tu siku hiyo salary iwe imesoma na we ndo mtu wa kwanza kunijulisha maana uliniomba sana namba yako yako ya simu ndio niiunganishe kwenye NMB mobile. Hilo sikuona tabu, nilifanya ili moyo wako ufurahi.
Nilifanya hivyo kwa moyo wote. Nilijiamini kwa kuwa nilikuanza ukiwa mdogo sana yale mambo yetu ya kwichi kwichi. Na kiswahili chako kitamu cha kitanga. Mama mdogo unaita "odo" na mtoto wetu akilia, unasema "alia" badala ya kusema "analia" kwa kiswahili chetu cha bara. Unaukonga sana moyo wangu.
Lakini wew huyo huyo ma Aisha, umenifanya nihame kwenye nyumba niliokuwa naimudu nikaenda kwenye ya gharama, yote sioni tabu.
Kama hiyo haitoshi umenishawishi mkopo wangu wa kwanza ninunue gari na nikafanya hivyo ingawa kwangu halikuwa kipaumbele.
Maisha yakaendelea, cha ajabu ukanisii sana nikufundishe gari maana mimi tayari nikuwa nimefuzu mafunzo ya driving ili uwe unanirash kazini then unanifata jioni wakati gari ukiendelea kulitumia kwa kazi ndogo ndogo kama kwenda sokoni.
Najua ma Aisha cheti chako cha form six nikibovu, lakini cha ajabu tangu umenitambulisha kwa jamaa fulani kuwa ni kaka ako ghafla kesha kupatia kazi kwenye shirika kubwa tu la ndege hapa nchini na yeye ni mkurugenzi wa kampuni x hapa hapa jijini. Hunipeleki tena kazini kama ilivyojuwa kawaida yetu eti nipande tu daladala kwa kuwa gari haikuwa hobby yangu.
Nikasema sitaki nikukwaze, nikaanza kukwea daladala kama kawaida na nimezoea, cha ajabu weekend ulikuwa unaomba hela ya mafuta sasa huombi tena na nikicheki gauge ni zaidi ya miezi mitatu sasa haijawahi kushuka.
Kibaya zaidi hata garage unaagiza tu kijana mmoja ulienitambulisha ni mfanyakazi mwenza anaipeleka inarudi ikiwa vizuri hata kama mshahara wako haujatoka.
Na istoshe kuna baadhi ya weekend huwa unasema unaenda kulala kwa yule kaka ako aliekupatia kazi. Nikihoji unasema ni kawaida tu mila zenu za kitanga mtu ukichoka kukaa kwako unaenda kwa ndugu zako kupumzika. Nikaona isiwe tabu, ila unachoniudhi kila nikiomba tuende wote japo nikapajue unasema kuna mambo ya kifamilia yenu huwa mnajadili, anyway naamua kupotezea tu maisha yaendelee.
Kweli wewe ni mzuri sana tena sana tu, una sauti nzuri umbo zuri, ngozi nyororo na ni mweupe haswa na hicho ndo huwa kinaniua kifo cha "mbwa koko". Naamini kabisa huenda hayo ndo yanayokufanya unifunge kitanzi na kuniendesha vyovyote utakavyo kama ki IST chetu.
Ni kweli nakufahamu fika katika suala la maarifa ya kitandani jinsi ulivyobobea, sinaga mfano. Mpaka unafikia kunitishia , nizunguke kokote mjini sitompata mwenye k tambu kama yako, najikuta tu naamini maneno yako. Wengine nawaona kama na hawajui kudeka kama wew.
Na huwa inatokea siku ukihitaji kitu na nisikufanyie, utanisubiri kitandani kwenye mamboz unanifanyia kila kitu tena kwa furaha yote na kwa sauti nzuri na maneno matamu ila nikitaka niweke kisu kwenye ala unagoma unakumbushia hitaji lako.
Na huwa uko serious hunipi kweli hiyo nafasi. Nikikimbilia bafuni, unanifuata fasta uniniambia na wew unataka kujisaidia maana kuna choose na bafu pamoja, basi nakuruhusu fanya yako nenda. Unagoma mpaka tutoke wote, yaani unakaba mpaka penati nisipate hata muda wa kukumbushia maisha yangu ya bodi.
Sasa, utamu umeninyima hata sabuni pia huipi nafasi?. Naamua kurudi kitandani na maumivu yangu, kugeukia upande wangu hutaki mpaka niseme nakutimizia hitaji lako. Huwa najikuta nakubali hata kama sielew ntapata wapi. Naangukia kwenye madeni kwa ndugu na jamaa mpaka nimekuwa kero. Lakini, kaa ukijua haya maisha najua yana mwisho.
Ilifikia wakati nikasema tuachane maana nashindwa kukutimizia mahitaji yako, ulipinga kwa nguvu zote na kusema hotoweza kuniacha kwa kuwa eti sisi wasukuma wengi wetu tumejaaliwa mashine za uhakika na upendo wa kweli. Nikiuliza hiyo research umefanyia wapi, unasema mbona mimi huwa nasema watanga mnayaweza na huwa hauhoji.
Sasa kwa taarifa yako kuna ka mama lishe mitaa fulani naona kanaelekea kibra na kamedai kako tayari kuishi hata kwenye nyumba ya tope na kulala chini, na kanaonesha kana upendo wa kweli toka moyoni. Pia kana shukurani ajabu hata ukaachie buku, kesho utakuta kamekuandalia mahanjumati ya ukweli kupitia mtaji wake mdogo.
Juzi tu nimekuambia mimi nahamishiwa Dodoma, ukadai Dodoma bado mji mdogo sana kwa mtu kama wew kuishi labda ingekuwa rock city. Sasa sijui unataka mkulu nimuambie mie ahamishie makao makuu mwanza ndo uende? Yaani una tabu mpaka basi.
Ndugu zangu wote huwapendi isipokuwa mmoja tu binamu yangu ndo mlielewana sana mpaka unaenda nae kwenye mizunguko yako na wakati mwingine mnarudi hata usiku wa manane.
Na wakati likizo yake ilipoisha hukutaka hata aondoke, nakumbuka mmepiga sana misele na ulimpeleka hadi kwenye kitchen party zenu akusubiri mpaka mwisho akiwa ndani ya gari, sikuona tabu.
Au kwa kuwa ni handsome boy fulani na ana mwili wa mazoezi. Mpaka ikafikia ukawa unaforce nianze mazoezi ili nifanane japo kidogo na huyo ndugu yangu.
Ni huyo tu ndo unamtambua, wengine hutaki hata kuwasikia eti unahisi had I kichefu chefu pindi nikuambiapo wanakuja kutusalimia.
Unasahau mie ndugu zako ninvyowajali, mmoja namsomesha private mwingine yuko primary na wote likizo ni kwangu. Hata sijawahi kasirika, na bado juzi tu umeniambia kuna mwingine anakuja tumtafutie kazi. Wala sijakubishia kitu.
Najua yana mwisho na niko njiani kujinusuru na penzi la shuruba. Wew ni mpenzi sana wa jf najua ujumbe umekufikia, akaunti yangu huijui na yako siijui Ila maneno yako ya shombo nitayajua tu kama utaamua kunijibu humu jukwaani.
Na ukinisbiri jioni home fine na leo ukimaind niko radhi nikuachie kila kitu nianze upya. Ni kweli wanawake mmetuzaa hivyo mna uwezo mkubwa wa kutukontrol lakini sio kwa kiwango hicho cha standard gauge mama, inatosha...Nashukuru tu umenizalia katoto kazuri karembo, nitakukumbuka kwa hilo.
Na hapa nilipo niko kwenye baa maarufu hapa mjini yenye watoto wazuri na wew unalitambua hilo ndio maana huwa unasema niende baa zote ila hapa ni marufuku kiss eti wahudumu wanaringa sana.
Najaribu kulinganisha wanavyojali na wew unavyonitesa. Mwisho wa penzi letu nauona kwa mbaali, na nimeamua kuusubiri kama hutobadilika ma Aisha wangu.
Ni hayo tu mama watoto wangu, True story..