profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,437
anapika bila shida,na hela za chakula naacha mimi zote,ada za watoto shule,nauli akitaka kwenda hata kkoo au kanisani nampa mimi.Samahani mkeo home hapiki?
msaada mkuuMmmnh🤔
😂 😂 😂 😂 , hao viumbe ni wabinafsi mbayakwa nini hela anazificha
nimepanga muda ukiisha nikabidhi fremu kwa kanisa,vitu nifungie ndani😂 😂 😂 😂 , hao viumbe ni wabinafsi mbaya
pole sana
safi sananimepanga muda ukiisha nikabidhi fremu kwa kanisa,vitu nifungie ndani
mkuu usijibu hivyo,bado hujaoa,ndoa ina mambo mengi,sio kila kosa ni la kupiga au kuacha mke,mna watoto wa nne,kosa hilo tu umfukuze arudi kwao,sio rahisi kiivyo kiongozi.Kwann unakubali mwanamke uliyemuoa, akujibu majibu ya namna hiyo??.
Hakika una feli mbwa wee
Baba au mme amepewa uwezo mkubwa hila wengi wetu hatuhutumii hata kwa asilimia moja!kimsingi umeona msanii.
ukiishaona mwanamke anashindwa kutambua ipi ni mali yako,ipi ya kwake na ipi ni ya familia,ujue huyo ni ng`ombe.
angeweza asikuonyeshe zilipo ila asikuombe hela ya chakula,au ada na mavazi ya watoto.tungempa cheo cha mke bora kabisa.
muhimu,acha kuiendeleza hiyo frem,mwambie huoni tija yake,kama ana akili atakataa na kukusitiza kwamaba yeye anaweza kuisimamia.
Hii comment ina kitu 😂Ndio hasara ya kuwa gentlemen,
Magentlemen ni watu wa kula hasara kila siku,ajili mtu wa kumlipa mshahara rudisha mama jikoni akupikie chai