Mkuu mi naomba kuuliza. Hivi haiwezekani kuzijua taratibu za dini ya kiislamu bila kukaa na kiongozi wa dini?Onana na kiongozi wako wa msikiti, umpe hicho kisa akikwambia ndoa ipo kisheria basi ruhuaa kuendelea nae(utamuacha tu kwa maamuzi yako) ila watoto wape elimu nzuri ya dini uhakikishe wameijua na usiwalazimishe upande wa kuwepo, kikubwa wape elimu.
Ima sheikh akisema ndoa hamna hapo, basi huna budi kuachia goma.
Je ulivyombadili dini ulimpa elimu ya dini, ulikuwa kiongozi mzuri kwake, ama ndio ile muislam jina, ukiwa muislam lazima uoneshe athari za uislam wako, marafiki, majirani n.k wote wapate athari kwamba huyu kweli ni muislam
Pole kwa yote mkuu.
Upunguze ku copy na ku paste mada. Hii story ilishawahi kupostiwa na mdau hapaHabari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
Hiki ndio ninachowaambia kila siku. Chunga matendo yako kwanza kabla hujaniita kafir, kobazi.Mbona mpo DINI MOJA TU labda ujui maana ya dini au hauna akili ...kuna dini mbili tu milele ...DINI YA UOVU NA DINI YA HAKI hizi ndizo dini pekee ulimwenguni leo hii waislamu na wskristo wana mgombea shoga au fisadi au jambazi au taperi au malaya au mlevi wakisema ni dini yao ...kwa waislamu wa sasa mlevi muislamu ni bora kuliko mkristo mlevi na kwa wakristo mlevi mkristo ni bora kuliko mlevi muislamu .....ukweli ni waislamu na wakristo wote mpo kwenye upumbavu maana mnadhani kuwa dhambi ni ukristo hivyo pasipo ukristo dhambi isingekuwako na wakristo wanadhani dhambi ni uislamu pasipo uislamu dhambi isingekuwako.
Hivi unaweza kudadavua mechanism ya ARV jinsi inavyonenepesha mifugo au unaleta story za kusadikika maana hapa tuongee Kwa lugha ya pharmacology vizuri.ni nyama tamu sana lakini kwa upande mwingine ni nyama chafu sana na hatari kwa afya. chukua mfano, hizo kitimoto mnakula mijini siku hizi, nyingi zimefugwa kwa miezi haifiki 4, tayari imechinjwa. hadi mifupa milaini kama nini. why? wanalisha vyakula vya kuwanenepesha wakue haraka kama mikuku, wanalisha madawa ya ARV. ninyi mnaofikiri hamjawahi kula ARV, mshakula sana kupitia kitimoto. watu wanajidanganya kwamba ni nyama nyeupe ila imejaa makemikali.
vitimoto ni vile vyetu sisi wa bush, kitimoto pori kile hakifugwi ni cha mbugani uko, ngiri n.k hata nyama ni tofauti. au nguruwe tu amefugwa kijijini ambao they don't afford kuwawekea madawa au masindano. ulishawahi ona wapi nguruwe anadungwa sindano? au hata kuku anadungwa sindano? maisha ya mijini mnalishwa uchafu mwingi sana. mimi vitimoto ambavyo huwa nakula hasa mikoani ni vile wanachinja minada ya vijijini, hivyo havihitaji hata kupimwa na mganga, ni salama, vimelishwa majani na vitu vya asili. sio hivi vya mjini.
Wewe, Mimi kuwa Mkristu sio issue ya hoja sijui mantiki !Shida si kubadili dini shida ni je kwanini unabadili dini ? Ikiwa sababu nje ya kuujua ukweli kwa hoja zenye mantiki basi bora usibadili baki ulipokuwepo.
Where did i say anything about u being christian? But lets assume i meant that, does it concern me ? the answer is No!Wewe, Mimi kuwa Mkristu sio issue ya hoja sijui mantiki !
I am a Christian, a Christian I am!
Nukta!
Itakuchukua muda mrefu saana kumaster mambo yote, dini imegusa maisha ya kila siku ya mwanadamu, ndoa, mali, mzazi, mlezi, yatima na kila kitu.Mkuu mi naomba kuuliza. Hivi haiwezekani kuzijua taratibu za dini ya kiislamu bila kukaa na kiongozi wa dini?
Kwa mfano huku kwetu ukishika Biblia kuna kila kitu na ndio maana akitokea mpotoshaji ni rahisi kumgundua japo matapeli yana nguvu sana siku hizi.
Amejielewa rasmi, unadhani ilkua halali wew kumfanya muislam? Kama unadhani dini ni haki ya mtu kwanin wew hukuamua kubadili na kua mkristo?Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
Sidhani kama anaishi kwa amani na waislam wenzie, hitaji lao duniani si hiloHata kanisani wanaruhusu kuoa mwanamke wa dhehebu ama dini ingine akabaki aliko endapo atakubali watoto wote watakua wakristo.
Hapa kuna mama wa jirani mumewe mkristo yeye Muslim watoto wote mpaka wajukuu wakatoliki na yeye anaendelea na uislam wake anafunga anaswali .. mambo ya kawaida sana hayajaanza leo yameanza zamani sana! Sema tu vijana skuizi tunakuza mambo
Tatizo ni kufwata maagizo.. Miili yetu imeumbwa kutokana na mazingira tuyayoishi ni ngumu sana kukifwata kitu ambacho kinachohusu roho.. Anyway Mungu awatangulie katika ndoa yaoAkirudi maana yake hakuna ndoa imeshavunjika mnaishi sogea tukae kuanzia sasa hivi
Ulivombadilisha ulimfundisha uislam?
Wewe unaswali swala tano?
Ulimfundisha kuswali na afuate mafundisho yake?
Ana miaka 58 anaishi kwa amani tu sijui unaitaka amani gani mahi wanguSidhani kama anaishi kwa amani na waislam wenzie, hitaji lao duniani si hilo
Hua ni waanzilishi wa chokochoko siku zote wanaamin din yao ndo dini pekee ya haki mahi wanguAna miaka 58 anaishi kwa amani tu sijui unaitaka amani gani mahi wangu
Sio woteHua ni waanzilishi wa chokochoko siku zote wanaamin din yao ndo dini pekee ya haki mahi wangu