Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,469
- 46,421
Kwenye dini zote vijana wa kiume tuko nyuma sana.Onana na kiongozi wako wa msikiti, umpe hicho kisa akikwambia ndoa ipo kisheria basi ruhuaa kuendelea nae(utamuacha tu kwa maamuzi yako) ila watoto wape elimu nzuri ya dini uhakikishe wameijua na usiwalazimishe upande wa kuwepo, kikubwa wape elimu.
Ima sheikh akisema ndoa hamna hapo, basi huna budi kuachia goma.
Je ulivyombadili dini ulimpa elimu ya dini, ulikuwa kiongozi mzuri kwake, ama ndio ile muislam jina, ukiwa muislam lazima uoneshe athari za uislam wako, marafiki, majirani n.k wote wapate athari kwamba huyu kweli ni muislam
Pole kwa yote mkuu.
Nami najua hivyo hakuna ndoa, ila akienda kwa sheikh kuna vitu anaweza kupata pata, JUNGU KUU halikosi ukoko.Hamna ndoa kaka ishavunjika hata aende akaulize Makkah 😄
Hiki kisa Kuna mmama alinisimulia Dec nae alirudi kwenye ukristo na wamezaa na mumewe watoto 4 sababu alisema hamfundishi dini mwanaume haend msikiti kabisa nae haend hata atembee kichwa wazi mume Hana mpango tu Yan muislam jina tu dad wa watu karudi anasali na hawana ndoa wanafanya mpango wafunge ya serikali au waachane tu
Vita ya mtu na nafsi yake ndio mapigano makubwa zaidi, ndio jihad kubwa na ngumu zaidi.Kwenye dini zote vijana wa kiume tuko nyuma sana.
Ni wachache sana wanaozingatia ibada.
Afadhari waislam mwezi huu wacRamadhani utawakuta vijana wameshika dini zao baada ya hapo wanapotea, wala huwezi mtambua kwa dini yake.
Kabisa mkuu, ni janga hili.Vita ya mtu na nafsi yake ndio mapigano makubwa zaidi, ndio jihad kubwa na ngumu zaidi.
Binadamu wengi tunashindwa kuziendeaha nafsi zetu il nafsi zetu zinatuendesha sisi, ndio maana tunapotea kwenye njia(dini) .
Ukifuata dini kama kweli wewe mtu wa dini, hapo hakuna ndoa.Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
Mfuate achana na dini ya kijanjajanja.Habari wakuu,

Hapa mi nadhani ndo tatizo lilipo!Akirudi maana yake hakuna ndoa imeshavunjika mnaishi sogea tukae kuanzia sasa hivi
Ulivombadilisha ulimfundisha uislam?
Wewe unaswali swala tano?
Ulimfundisha kuswali na afuate mafundisho yake?
Jamaa alikaza, hata sisi tulimshangaa sana maana ndoa imeshakuwa na umri mkubwa sana. Mpaka tukahisi mchepuko ulimroga. Mwisho akamlima taraka, Leo hii wapo mahakama ya rufaa wanagawana maliSasa hapo angeahirisha kuoa tuu maana lengo lilikuwa awe na wake wawili. Angemwomba mkewe yaishe waendelee na maisha.
Hasara kubwa zaidi!Jamaa alikaza, hata sisi tulimshangaa sana maana ndoa imeshakuwa na umri mkubwa sana. Mpaka tukahisi mchepuko ulimroga. Mwisho akamlima taraka, Leo hii wapo mahakama ya rufaa wanagawana mali
SOGEA TUKAEAkirudi maana yake hakuna ndoa imeshavunjika mnaishi sogea tukae kuanzia sasa hivi
Ulivombadilisha ulimfundisha uislam?
Wewe unaswali swala tano?
Ulimfundisha kuswali na afuate mafundisho yake?
Religion is the opium of the people.Habari wakuu,
Naombeni mnishauri.
Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.
Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.
Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.
Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.
Hebu nisaidieni.
mwenzako kwa upande wake alikuvumilia akakaa kwenye dini yako miaka yote hiyo. ni zamu yako sasa wewe nawe ubadili dini uwe mkristo. nakushauri uwe mkristo, mkeo amechoka kujidanganya nafsi yake kuabudu dini isiyo na maadili ya Mungu wa kweli.Habari wakuu,