namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
Punguza kisha baadae achana na uzinzi mdogo wangu. Muombe msamaha mkeo au mtafuta mama mtu mzima anayejiheshimu hapo mtaani kisha msimulie kila kitu na yeye ataenda kuongea na mkeo.Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Mtake radhi wanawake mungu amewajaalia moyo wa kusahau kuna siku waifu alifanikiwa kufungua simu yangu akasima sms kibaoHabari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Formula kuu ya mchepukaji yeyote makini ni kuwa na namba mbadala ambayo haijulikani nyumbani. Na ni mwiko kwa mchepuko kujua namba yako kuu. Nyumbani ni sehemu ya amani, moja ya amani hizo ni kuweza kuacha simu yake pasi na kuwa na shaka kuwa kuna madudu yataonekana.kwangu me ningekudharau kingese sana me wakujipiga picha za utupu kwangu ni gosha tu,me waukweli wanafanya mambo yao huko nje wanamalizana kabisa akija nyumbani heshima na adabu lakini mambo ya kubaki na vielelezo vya ushangingi wako ni utoto.......cheers to wachepukaji
Mwana kulitafuta mwana kulipata , ndoa sio maigizo. Huwa nawaambia watu stay truthfulness kwenye ndoa yako na Wala usiwe na mawazo Hasi juu ya mwenza wako.Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Sijatuma tu bali ni mchepuko wangu typical tulikua katika sex storiesWANAUME WA DAR MNASHIDA SANA UNAMTUMIAJE MTU PICHA ZA UTUPU WAKO ITOSHE KUSEMA "BAHARIA UMEUMALIZA MWENDO R.I.P"
Hili wazo zuri mkuu nitafikilia ili nilifanya kwa ubora zaidiPunguza kisha baadae achana na uzinzi mdogo wangu. Muombe msamaha mkeo au mtafuta mama mtu mzima anayejiheshimu hapo mtaani kisha msimulie kila kitu na yeye ataenda kuongea na mkeo.
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
AseeeePambana na hali yako. Kiukweli hatuna msaada
Ile mama ni mchepuko typical tulikua katika sex storykwangu me ningekudharau kingese sana me wakujipiga picha za utupu kwangu ni gosha tu,me waukweli wanafanya mambo yao huko nje wanamalizana kabisa akija nyumbani heshima na adabu lakini mambo ya kubaki na vielelezo vya ushangingi wako ni utoto.......cheers to wachepukaji
Hakuna majadiliano ni mayowe tuWewe nadhani humo kichwani mwako hazimo kabisa! Ndiyo uchafu wako huo wa kutuletea humu? Nenda kajadiliane na huyo mke wako kitu cha kufanya!