Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
we bwana mbona kunitusi
asante kwa maon mkuuHuyo ni wa kumpa suspension au kumdivosi kabisa , how comes akutooe damu .
Mkuu huna mke una kiwanda cha watoto, kama watoto wamekutosha mfukuzilie mbali ukimsamehe mpe suspension aende Kwa wazazi au walezi wake wakamfunde
Asipokusikia wewe,unipe na mimi namba yake nimsisitize zaidi.Nipe namba zake nimkanye
mkuu kiswahili nimekijulia ukubwani forgiven ila kama umeelewa ushaur wako muhimuDamu kibao ndio nini???
Childish.Huwa natamani wa kwangu afanye hivi hata siku moja lakini sijabahatika kabisa. Kila wakati nikilianzisha ananikwepa. Nadhani siku atakayojaribu breki ya kwanza itakuwa kwa dentist kufunga dental braces ili kukaza meno.
hii nimeipenda, huyo mwanamke anamchukulia huyu mwanaume ni dhaifu, kacheza faulo ya kwanza simu ya mchepuko, anaulizwa anang'ata jicho, makosa mawili na bado mume anakimbilia JF kuuliza afanye nini...khaaMkuu mpaka anakungata kwenye jicho Kwa juu ulikua unamwangalia Tu ?
Kuongezea tengeneza mazingira yakuheshimian na Mke wako Mkuu kuna kitu hakipo sawa
sizan kama nimemkosea mpaka kufikia huko ila dah ngoja kwanza nipone japo kaomba msamaha nimemjibu sawa ila roho inakataa kumsamehe kwanza kanikosea pili katoka nje kani dhalilisha yakuwa nampiga kila siku huku akilia wakati si kweli meno yake sio shida, shida kutoa nje mamboMkuu mpaka anakungata kwenye jicho Kwa juu ulikua unamwangalia Tu ?
Kuongezea tengeneza mazingira yakuheshimian na Mke wako Mkuu kuna kitu hakipo sawa
Hivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vileMwambie aende nyumbani kwa wazazi wake akapumzike, watakapomfundisha hekima na kuwa tayari kuitumia ndani ya nyumba arudi. Kiufupi hapo ulitimiza tu ile ahadi ya kuoa lakini sio chaguo sahihi.
hana wazazi wala tegemeo unazani namtimulia wap?Mwambie aende nyumbani kwa wazazi wake akapumzike, watakapomfundisha hekima na kuwa tayari kuitumia ndani ya nyumba arudi. Kiufupi hapo ulitimiza tu ile ahadi ya kuoa lakini sio chaguo sahihi.