Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Zali hilo mwanangu...tumia vizuri mwaka huu...............!!!ACHA UTANI WW,HUYO NI MKEO AU GIRLFRIEND???ETI ANASAFIRI SAFIRI!!LIMEKUA LORI HILO!!!:majani7:......Hebu kuwa mwanamume wewe!!
 
We Tegelezeni mbona unatuchanganya, mara mkeo kakuletea shoga yake utembee naye mara akijua itakuwaje? sasa tukueleweje?
 
mkuu usiwe puyoya,sio kweli kuwa mke wako hajui,anajua sana kuwa umeshagegeda mzigo na huko yeye ni anagegedwa kwa kwenda mbele.
 
Reactions: Mbu
nshamuelewa huyo wife. ana bwanaake, ndo maana hata faida anazopata huko anatumia kujipendezesha. hapo kakuwekea mtego ili na wewe ukimshtukia usiwe na lakusema, atakua anajua fika kua unamla shoga yake ila she is smart about this.....akichoka huko au akiachwa, anakuletea ww kesi ya kumla shoga ake na ww unaleta kesi ya yy kuliwa nje, mnayamaliza freshi bhasss!
 
Reactions: Mbu
Mkeo kacheza karata zake vizuri.ni kwamba yeye ndio ameanza kukusaliti akakutega na huyo shoga yake naww umeingia kichwakichwa,kujua kashajua hapo anaandaa mtego awabambe rasmi ili apate tkt kukumwaga jumla
 
Reactions: Mbu
ila na ww ni mume wa aina gani bana....unataka kuomba likizo usafiri na mama kwenye vikao vya vikoba??????? dereva wa serikalini nn? hii tabia saizi yako kbs.
 
Mkeo kaamua kukutega we endeleza libeneke na shogake, si kamleta mwenyewe?
 
Mkuu katika kila dini kuna imani mbili, ile ya kumtii Mungu kwa unyenyekevu na ile ya kuwaogopa watu wasikuone ukifanya mabaya.
Mkuu hapo naona umesahau mimi huwa siogopi binadamu nikiwa nataka kufanya mabaya nfanya mbele zao na FYI hakuna naye muogopa hapa, na hakuna aliye leta dini hapa zaidi ya mtoa mada.
 

Kuna story nimeisikia mtaani wanawake wakiongea at mabest wawili walishea mwanaume mmoja bila kujua kumbe kiumbe alikuwa Na matanesco. Wale mashoga walipogundua Kwamba Na wao ni wanamtandao mmoja aliyekuwa kaolewa akatengeneza mazingira ya kusafirisafiri ili Yule rafiki yake atembee Na mumewe kisha baadae mumewe aonekane ndo kaileta mitambo ndani ya nyumba. Aisee isije ikawa Ndo hii..
 
hadi raha jamani
kumbe dunia saa zingine ina raha hivi?
hongera mkuu ,kula maisha
 
kuna wanawake ni vilaza duniani sijapata kuona!
lakini pia kuna wanaume hawana maamuzi ya kiume sijapata kuona!
mphew!
 
duuuh kumbe ndo hivi liwa uliwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…