I IBM2014 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 929 Reaction score 169 May 10, 2015 #41 sasa mzee unataka tukusaidie kumgusa
T Toto 2ndu Member Joined May 6, 2015 Posts 60 Reaction score 24 May 10, 2015 #42 baloz89 said: wameoana mvulana na msichana sasa unadhani nn kitaendelea hapo.....labda msichana anadhani akifanywa atapata mimba juu ya mimba Click to expand... kwikwikwikwikwikwiii cna mbavu mm jaman
baloz89 said: wameoana mvulana na msichana sasa unadhani nn kitaendelea hapo.....labda msichana anadhani akifanywa atapata mimba juu ya mimba Click to expand... kwikwikwikwikwikwiii cna mbavu mm jaman
Rmma Member Joined Sep 15, 2013 Posts 67 Reaction score 5 May 10, 2015 #43 Nenda Buguruni kwa Kimboka na Tsh 2,000/=
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 660 May 10, 2015 #44 Mimi alikuwa ananiambia nanuka kama harufu ya nyoka..na kunitemea mate kwa sana. Nikawa nikija Tz nafikia hotel na kwa ndugu zangu mpaka alipojifungua.Hio huwa inatokea kwa wajawazito, mpe space.
Mimi alikuwa ananiambia nanuka kama harufu ya nyoka..na kunitemea mate kwa sana. Nikawa nikija Tz nafikia hotel na kwa ndugu zangu mpaka alipojifungua.Hio huwa inatokea kwa wajawazito, mpe space.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,694 May 10, 2015 #45 Kama ndiyo mimba yake ya kwanza lazima adeke sana. Vumilia atarudi kwenye hali yake.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,175 May 10, 2015 #47 MBUFYA said: ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu Click to expand... Hapo ni uombe asiendelee hivyo hata baada ya wiki nane zijazo. Ongea nae kiupole kuna kitu utakuta hakimchefui labda ili wewe ufaidike.
MBUFYA said: ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu Click to expand... Hapo ni uombe asiendelee hivyo hata baada ya wiki nane zijazo. Ongea nae kiupole kuna kitu utakuta hakimchefui labda ili wewe ufaidike.
rust JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 330 Reaction score 98 May 11, 2015 #48 MBUFYA said: ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu Click to expand... Vimilia kaka ni madiliko tu ujauzito subiri miez mitatu atakuwa anapenda kugegedwa mpk itakuwa keroo
MBUFYA said: ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu Click to expand... Vimilia kaka ni madiliko tu ujauzito subiri miez mitatu atakuwa anapenda kugegedwa mpk itakuwa keroo