Mke wangu haniheshimu

feisal firdaus

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2022
Posts
424
Reaction score
677
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 34. Nina mke na watoto 2, mmoja kike mwengine wa kiume, hapo hatujaoana lakini nimemtolea barua kwao.

Mwanamke huyu hamuheshimu mtu yoyote hapa duaniani, jeuri kiburi, dharau pamoja na matusi, nimekuwa nikimvumilia matusi yake naona kabisa nimechoka. Lakini nikiangalia hawa watoto ndiyo inanifanya bado niendelee naye.

Naomba jamani, mwanamke hana adabu kwa mtu yeyote, yaani nimeingia choo cha kike.
 
Mpaka mmezaa watoto wawili maana ake Kuna kipindi mlikuwa vizuri na mliinjoi sex. Fanya maamuzi sahihi kwa faida ya Afya yako ya akili na wanao! Muache kwa amani , kaishi kwingine lea wanao kwa kutuma fedha za kutosha, afu uache kulia lia huku mitandaoni HAISAIDIII ZAIDI YA kukuumiza
 
Hujamkuna mpaka ikatoka jasho ndio maana
 
1. Mwanamke asiye kuheshimu ujue anapigwa nje
2. Usioe mwanamke asiye na heshima kwako wala ndugu
3. Usiogope kuachana na mwanamke eti kwa sababu watoto ni wadogo sijui inakuwaje hapo ndio huwa mnapigwa watoto kaa nao kama hauko well peleka kwenu kisha achana na huyo mwanamke, usiishi kwa shida eti tuna watoto wadogo
 
Mimi ndo Sina hela mkuu
ndo tatizo lilipo mkuu sasa muache utafte ela af umrudie, au muache usitafte ela, au muache tafta ela usimrudie....zipo muache tatu kwenye andiko langu utachagua moja
 
chakata uchakatavyo kama hela amna ni kazi bure atafurahi wakati wa show akimaliza hasira zinarudi palepale. ukwa na hela heshima itakuwepo hatakama show dhaifu hawez kusema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…