Ndugu zangu my wife 2 be haniamini kabisa, nimejaribu kufanya kila niwezalo mfano; kumuachia simu yangu nikiwa nae, whatxap yangu yupo free, password ya FB, instargram zote anazijua.
Napenda kutoka nae kila inapowezekana but imani yake kwangu ni ndogo sana na of coz mimi sina mchepuko kabisa. Mwenzenu sijui nifanyeje.
Msaada wenu please kuokoa mahusiano yangu