Mke wangu billionaire

Mke wangu billionaire

Cuso4.h2o

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
93
Reaction score
8
Jaman nmetabiliwa kwamba ntakuwa tajr''billionaire'' kesho nkiamka. Haya xaxa leta dada,shangaz,bnamu,ka we mwanamke,njoo mwenyewe nkuoe maana nafasi n chache xana na uxje ukajlaumu umekoxa nafac na namba yangu ya xmu(xna cmu) ila ntatoa namba ya jran baadaye
 
jaribu kumuona doctor kabla haijafika hyo kesho maana hata malaria iko namna hii!
 
Mmh...............
Hv milEmbe ulitoroka au uliruhusiwa na Dr????????
 
Jaman nmetabiliwa kwamba ntakuwa tajr''billionaire'' kesho nkiamka. Haya xaxa leta dada,shangaz,bnamu,ka we mwanamke,njoo mwenyewe nkuoe maana nafasi n chache xana na uxje ukajlaumu umekoxa nafac na namba yangu ya xmu(xna cmu) ila ntatoa namba ya jran baadaye

Shule zimeshafunguliwa au bado ? tumechoshwa na watu wanaodanganya umri wao kuingia JF :A S angry:
 
Nimeshindwa kucheka hata kusikitika pia nimejikuta nashangaa..itabidi waanzishe usajili kwa kutumia credit card sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom