Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,312
- 5,486
Duh, ndoa hiziii. Yeye joto lake lipo?Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki tendo mtoto ana miezi 3 sasa yaani juzi.
Tatizo lililoponi nikwambie mke wangu Anasema anaona utofauti wa uuume wangu hauna joto joto la uume nikidogo sana tofaut na kipindi chanyuma Anasema ulikua najoto Kali kiasi kwamba tukifanya tendo anaskia utamu Sana nakutamani kila siku.
lakini Sasa hivi tangu tuanze tendo landoa baada yamiez7 mtoto akiwa namiez3 yaan tumeanza majuzi yeanaona uume haunajoto kabisa joto dogo Sana nahausisimui anashiriki Basi tu.
Wakuu nishaurini je uume huwa unapungua joto lake. Navip mim nin nifanye uume uwe najoto Kali Kama anavodai mke wangu joto Kama lazamni nin nifanye liwepo naomba kuwasilisha