Mke wangu anasema uume wangu una joto dogo sana umepungua ladha

Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki tendo mtoto ana miezi 3 sasa yaani juzi.

Tatizo lililoponi nikwambie mke wangu Anasema anaona utofauti wa uuume wangu hauna joto joto la uume nikidogo sana tofaut na kipindi chanyuma Anasema ulikua najoto Kali kiasi kwamba tukifanya tendo anaskia utamu Sana nakutamani kila siku.

lakini Sasa hivi tangu tuanze tendo landoa baada yamiez7 mtoto akiwa namiez3 yaan tumeanza majuzi yeanaona uume haunajoto kabisa joto dogo Sana nahausisimui anashiriki Basi tu.

Wakuu nishaurini je uume huwa unapungua joto lake. Navip mim nin nifanye uume uwe najoto Kali Kama anavodai mke wangu joto Kama lazamni nin nifanye liwepo naomba kuwasilisha
Duh, ndoa hiziii. Yeye joto lake lipo?
 
Kaka wanawake wako na changamoto saana, na ukifuatilia Kila wasemalo utakufa kabla ya umri wako.

Mara nyingi mwanamke akitoka kujifungua hupitia mabadiliko ambayo huendelea kipindi chote ananyonyesha.
Wewe lisikuumize kichwa Wala usinywe madawa yoyote atakaa sawa kikubwa kuanae karibu na kumuandaa ki saikolojia
 
Ila mkeo ana heshima sana, hajasema una kibamia...

Kasema tu uume hauna joto basi!
Mkewe anapitia kipindi cha mabadiliko ya mwili, huenda hata tendo la ndoa hataki. Hii ni kawaida kwenye ndoa, wakivumilia itaisha.

Mambo ya kibamia itakuwa yamekukaa kichwani yaani. Na ni mara chache sana mwanamke kuwa na hiyo hali au mwanaume kamili kuwaza kibamia mara kwa mara.
 
Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki tendo mtoto ana miezi 3 sasa yaani juzi.

Tatizo lililoponi nikwambie mke wangu Anasema anaona utofauti wa uuume wangu hauna joto joto la uume nikidogo sana tofaut na kipindi chanyuma Anasema ulikua najoto Kali kiasi kwamba tukifanya tendo anaskia utamu Sana nakutamani kila siku.

lakini Sasa hivi tangu tuanze tendo landoa baada yamiez7 mtoto akiwa namiez3 yaan tumeanza majuzi yeanaona uume haunajoto kabisa joto dogo Sana nahausisimui anashiriki Basi tu.

Wakuu nishaurini je uume huwa unapungua joto lake. Navip mim nin nifanye uume uwe najoto Kali Kama anavodai mke wangu joto Kama lazamni nin nifanye liwepo naomba kuwasilisha
Tatizo ni mke kuta zake za uke zimeathirika na hazipeleki taarifa kamili, Kwa ufupi amepungukiwa na nguvu za kike
 
Acha uongo mkuu, ukishajifungua k inarudi tighter mara mbili ya ilivokuwa mwanzo (uone maajabu ya Mungu) hii ni kwa wanaojidungua kawaida sio wa operation

Normal delivery hazina Changamoto sana baada ya kujifungua ila kama kulijitokeza complications wakati wa delivery hiyo inaweza kujitoka ambapo tightness ya uke inachukua muda kujirudi na ndio maana nimemsihi amwambie mkewe kuwa ni jambo la muda tu hiyo hali itaondoka yenyewe. Sijui uongo wangu uko wapi au unabwabwaja tu Mkuu ??
 
Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki tendo mtoto ana miezi 3 sasa yaani juzi.

Tatizo lililoponi nikwambie mke wangu Anasema anaona utofauti wa uuume wangu hauna joto joto la uume nikidogo sana tofaut na kipindi chanyuma Anasema ulikua najoto Kali kiasi kwamba tukifanya tendo anaskia utamu Sana nakutamani kila siku.

lakini Sasa hivi tangu tuanze tendo landoa baada yamiez7 mtoto akiwa namiez3 yaan tumeanza majuzi yeanaona uume haunajoto kabisa joto dogo Sana nahausisimui anashiriki Basi tu.

Wakuu nishaurini je uume huwa unapungua joto lake. Navip mim nin nifanye uume uwe najoto Kali Kama anavodai mke wangu joto Kama lazamni nin nifanye liwepo naomba kuwasilisha

Ushauri wangu ni huu: huyo mkeo anatafuta njia ya kuchepuka na ndio maana anatunga kasoro dhidi yako ili ajenge uhalali wa kuchepuka au yawezekana kishapata mchepuko.

Na wewe tafuta njia ya kumlaumu ili asipate njia ya kuchepuka.
 
Shida iko kwa mkeo Wala siyo wewe. Usijetamani kujaribu nje maana akijua atakuuua! Mwambie tu kwa upole mke wangu papuchi yako imekuwa Pana na hyo mdudu haufiti, mkeo ametumia mbinu za kisaikolojia kukumaliza km ambavyo nyie mbavyo mnatumiaga mbinu za kutaka kuchepuka kisa wamezaa kwahyo hawana mvuto.

Hyo itakuumiza Sana usipostuka hata kutia hutatia mkeo ng'oooh
 
Itakuwa Mke wako anatumia vidonge vya kupanga uzaz au kijit au Ana tatizo la hormones
 
Si kila ukweli humweka mtu huru.
Naamini hata wewe umeona mabadiriko kwenye uke wake, na utam wake umepungua tofauti na kabla ya mtoto kuzaliwa. Tofauti hii mnayoiona sasa ni kwasababu ya zawadi nzuri ambayo Mungu amewapatia. No pain no gain.
Mtoto akifikisha mika miwili mtajikuta mmezoeana na kufaidiana kama hapo zamani. Vumilieni kidogo tu.
Nawatakia maisha mema ya ndoa.
Thread ifungwe kwa ushauri huu, ameshamaliza
 
Kaka hapo k yake ishatanuka Kama alivokuchana ukweli na wewe mwambie njia yake imelegea awe mpole.otherwise tumia u janja ujanja kumfikisha kunako raha
 
Shida ni yeye uchi wake aupe muda
Ukijifungua hamu hupotea kabisa kwa wengine
 
Mrejesho tafadhali baada ya mwezi na siku 6 sasa hali ikoje mkeo anasemaje?

Nataka kujifunza ikinitokea hapo badae
 
Back
Top Bottom