Mke wangu anasema uume wangu una joto dogo sana umepungua ladha

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,778
2,703
Habari wakuu nawasilishi baada mimba ya mke wangu kufika miez6 tulisitisha tendo la ndoa baada yayekuwa anapata maumivu makali sana ilikwenda hadi alipojifungua hatukushiriki tumekuja shiriki tendo mtoto ana miezi 3 sasa yaani juzi.

Tatizo lililoponi nikwambie mke wangu Anasema anaona utofauti wa uuume wangu hauna joto joto la uume nikidogo sana tofaut na kipindi chanyuma Anasema ulikua najoto Kali kiasi kwamba tukifanya tendo anaskia utamu Sana nakutamani kila siku.

lakini Sasa hivi tangu tuanze tendo landoa baada yamiez7 mtoto akiwa namiez3 yaan tumeanza majuzi yeanaona uume haunajoto kabisa joto dogo Sana nahausisimui anashiriki Basi tu.

Wakuu nishaurini je uume huwa unapungua joto lake. Navip mim nin nifanye uume uwe najoto Kali Kama anavodai mke wangu joto Kama lazamni nin nifanye liwepo naomba kuwasilisha
 
Sijui kwakweli naona Kama katumia uzoefu wa nyuma akimaanisha kuwa tukikaa mda mrefu Sana bila kushiriki tendo la ndoa siku tukuji shiriki tendo la ndoa uume wangu anaona unakua joto Kali sana linalomfanya aitamani Tena Tena lakini baada yakukaa mda mrefu bila kufanya mim nayeye mpaka kuja kufanya majuzi akitegemea joto nilile lile kali lakini amesema ameona hauna joto kabisa haumsisimui
 
Ni mapema sana yeye kuanza kusingizia uume wako umekata Joto. Mwanamke baada ya kujifungua huwa kuna mabadiliko mengi tu ambayo baadhi husababishwa na kujifungua njia ya jawaida na kupelekea upana wa uke wake kuongezeka.

Kuongezeka kwa size ya uke wake kwenye njia yenyewe vaginal canal zile misuli na kuta za misuli zinakuwa hazikamtilii uume kisawa sawa kama ilivyo awaki jivyo inafanya yeye kuhisi kama Joyo la uume limeshuka. Hata yeye unwambie aifinyie kwa ndani uone kama bado kale mfinyo unakasikia kama mwanzo?

Na pia kama mjumbe mwingine alivyotangulia kuandika, hormonal imbalance inaweza kuwa chanzo lakini yeye ajipe muda takaa sawa.
Yeye Ajipe Muda na wewe mpe muda haki yake itarudi tu kama awali na ataanza kuugurahia Mjegejo. We jitahidi kumpelekea moto tu wa kutosha yaani.
 
Back
Top Bottom