Mke wangu anasema hanitaki nifanye nini?

Yani katika grievances zako zoote umeona tatizo ni kufanyiwa "usafi wa mafasi yangu." Duu, nashukuru Mungu na wazazi niliokuwa nao nilijifunza kamwe kutotegemea mwanamke eti anifanyie "usafi wa mafasi yangu." I mean, just go wash your draws man!
Hahahahaaaaa - umenichekesha mkuu, ajabu jamaa kaona kufuliwa mafasindo ishu kuubwa ya kuielezea jamii. Nafikiri yeye ndiye mwenye tatizo.
 
Uyo keshasema hakutaki timulia mbali au unaishi kwake?
Toa maamuzi ya kiume mkuu
 
Godzzo, kitendo cha kutamkiwa kuwa hao watoto sio wako inaonyesha tatizo ni kubwa sana na wew ndio tatizo kuliko hata mkeo. Kama anaweza diriki kutamka hivyo na hapo hapo kukufanyia jeuri na dharau ni moja ya kiashiria kikubwa kuwa yeye ndio kavaa suruali humo ndani.

Ninaposema kuvaa suruali nina maana yawezekana yeye ndio kwa kiasi kikubwa anaendesha maisha humo ndani kwa asilimia kubwa sana hadi kukulea wewe. Suala hili la mke kubeba majukumu kuliko mume in some cases ndio matokeo yake haya. Anajua hata akifanya dharau.. Hata akikutamkia watoto sio wako na kufanya vitimbi vingine vingi huna ubavu wa kuchukua maamuzi yoyote na hata ikitokea uondoke na kumuacha hakuna anachopungukiwa.

Ni muhimu saana akina baba kushika na kubeba familia zao ipasavyo kuweza kuleta a bit of balance ndani ya nyumba na pia kuweza kuwa a bit in control hata kama mwaishi na mkeo kama equal patners.

Kama si hivyo nilivyogusia, ni vema ukaeleza wewe wadhani nini chanzo cha tatizo. All in all pole sana.

Umemaliza nasahaa na ushauri wote na mwenye sikio na asikie.
 
Last edited by a moderator:
Jembe akili yako umeihamishia kisiginoni...chukua hawa watoto kapime na DNA mengine yatajileta unaambiwa watoto si wako mzee unaoneka hata hustuki au bibie kakuchezea nin?
 
dah..wanaume wengine bora msingezaliwa tu..hayo uliyoandika uko siriaz kweli?shame on u
 
Je unyumba anakupa? Kama ndio basi bado anakutaka. Mafasi yafue mwenyewe. Mikono si unayo mkuu?
 
Wakuu,

Mke hanitaki nifanyeje?

Tayari tumejaaliwa watoto wawili, ingawa husema kuwa watoto siyo wa kwangu. Hua ananiletea kiburi na jeuri na hata hataki kufanya usafi wa mafazi yangu.

Naombeni ushauri.
Muache
 
Godzzo, kitendo cha kutamkiwa kuwa hao watoto sio wako inaonyesha tatizo ni kubwa sana na wew ndio tatizo kuliko hata mkeo. Kama anaweza diriki kutamka hivyo na hapo hapo kukufanyia jeuri na dharau ni moja ya kiashiria kikubwa kuwa yeye ndio kavaa suruali humo ndani.

Ninaposema kuvaa suruali nina maana yawezekana yeye ndio kwa kiasi kikubwa anaendesha maisha humo ndani kwa asilimia kubwa sana hadi kukulea wewe. Suala hili la mke kubeba majukumu kuliko mume in some cases ndio matokeo yake haya. Anajua hata akifanya dharau.. Hata akikutamkia watoto sio wako na kufanya vitimbi vingine vingi huna ubavu wa kuchukua maamuzi yoyote na hata ikitokea uondoke na kumuacha hakuna anachopungukiwa.

Ni muhimu saana akina baba kushika na kubeba familia zao ipasavyo kuweza kuleta a bit of balanceit ndani ya nyumba na pia kuweza kuwa a bit in control hata kama mwaishi na mkeo kama equal patners.

Kama si hivyo nilivyogusia, ni vema ukaeleza wewe wadhani nini chanzo cha tatizo. All in all pole sana.
Sema watu mnapitia 🤣🤣🤣 eeh i can't imagine initokee mimi
 
Sema watu mnapitia 🤣🤣🤣 eeh i can't imagine initokee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom