Kumbe wee Ni mtoto wa kiume mwenye jina la kikeWewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu .
Kila weekend watoe watoto out usilale chumba kimoja naye. Usimwonyeshe dharau watoto wakihitaji kitu unawapa . Akikuomba ushauri unampa simple . Hujawahi pitia uhusiano serious ya kifala kama mie nimekuwa na mtu ila sio ndoa mpaka unyumba anakuringia . Anadai amechoka basi nikaona sio tija.
Miezi kadhaa anaringa nikaamiankwa jirani huyo jirani anajua mapenzi naalikuwa single.
Basi mpenzi wangu akanza kusanuka akaanza kuachia unyumba ila namimi nikaanza kuringa mapenzi nampa mwingine. Hadi akaja namachozi babe turudiane huku na magoti mwanadamu usiringiwe na watu
kabisa ujinga wa kiwango cha sgr, halafu akiachwa akaenda kupigika huko utasikia akisema, wanaume wote ni mbwa.
kwani akisomeshwa kwao ndo hatakuwa na tabia mbaya?Mwana kulitafuta mwana kulipata.
Matendo ya wanaume 12:36
Mwanaume usisomeshe mchumba au mke, hilo ni jukumu la kwao alipozaliwa..
tena karithi kutoka kwa mama yake, ndo maana mama yake anampa kichwa, huyo baba yake atakuwa anateseka sana basi tu.Pole, siyo kwamba kabadilika, hiyo ndo tabia yake halisi, tabia halisi ya mtu inakuja baada ya kupata pesa, cheo au elimu.
Kama mtu ana hizo sifa tatu halafu akabaki kuwa humble, huyo ndo mtu sasa.
Dunia imebadilika, zamani malazi yalikuwa ni suala la jamii nzima, siku hz malezi ni baba/mama, kimsingi kuna kitu mwamba aliona hakipo sawa kwa hyo mwanamke ndo maana akaamua kufanya hvo ili kumtoa tongotongo aweze kulea watoto vzuri,Maprofesa wengi wamelelewa na mama zao ambao either hawajaenda shule au ni darasa la saba.
Kama kawaida yenu wakataa ndoa, kwenye uzi kama huu hamkai mbali......Ndoa ni utapeli nani kawadanganya kuoa nyie watu!! Ona sasa na shule ulimpeleka MWANAMKE HASOMESHWI haijalishi ni mke au mchumba usijipe majukukumu ya mzazi wake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Pole. Ila kuna kosa ulifanya ni kuanza kumsomesha. La sivyo ulitakiwa kujua tangu mwanzo kuwa kumsomesha mchumba au mke miaka ya mwanzo ya ndoa ni majanga, na kama umeamua ulitakiwa kufanya kama sadaka tuu hata mkiachana usiumie. Mke wa kusomesha walau mmezaa watoto 3 au 4. huyo haendi popoteNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Maamuzi ya kiume haya.mtafutie kosa upige chini japo watoto huwa wanapata tatizo libwa sana kisaikolojia wazazi wakiachana lakina hakuna namna .Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
baby wake wa shule anamkaza na anampa vitu adimu, wewe anakuona BS
Kiswahili cha neno tochi. Unaifahamu na kandili?Nawe tungekutafuta hivo....
Kiswahili kipana, kurunzi ni nini?
Unamzungumzia Mzava ambaye ndo mkuu wa Baraza la madaktari Tanganyika? MCT?Mwanangu wewe jua tu kwamba anapokuwa kwenye majambozi anakutukana sana! Wanawake wa dot com ni umbwa anapokuwa kule nje wananyanyuliwa miguu mpaka darini, vi kifulambute havinaga mchezo ndiyo hayo madharau! Kama amesoma na akapata kazi lazima akanywe! Mzee Mnzavas nate alisomesha mke akapata kazi kutoka kwenye kufanya usafi hospitalini mpaka kuwa nesi, sasa hivi anakaribia kufa bila msaada wa mke wala mtoto!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaweza kuwa mbunifu mkubwa wa mavazi akiwezeshwa na wenye feza kukuzidMlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani
Ona sasa wahuni wanakukazia
Kumbe christina nae kafanya mauza uza ..?Hata Mzee Shusho alifanya hayo hayo kwa christina. Sasa kabwagwa kahama hadi kanisa la mumewe.
Wewe siyo wa kwanza
Hapana, Mnzavas mzee wangu huku Shy. Wamama hawafai kabisa mzee ametoa from nowhere mpaka naye akawa binadamu msikini amekuja kumtelekeza uzeeni!Unamzungumzia Mzava ambaye ndo mkuu wa Baraza la madaktari Tanganyika? MCT?