Mke wangu ananifumbia kwa nyimbo ya Baba Swalehe

Unafwatana na rafikiiii daily utadhan unabalehe.

Kumbe wewe ni baba vick,yeye mwenzako baba swaleh.

Acha kuishi kibachelor ndani ya nyumba utaleta maseke.

Hahaaa utakuwa unaangukia kwenye hivi virusi.

unajaza marafiki ndanii utazan una sherehe
 
sasa labda utuambie huo wimbo una mawaidha gani, yaani huyo baba swalehe anasemwa kwa lipi, hapo tutajua tufanyahe

mtu anayependa mpira had anakosa mda wa kukaa na familia yake
 
Ebu weka mistari yake mkuu manake mie sana Taarab na pia sio za kisasa zile za Njiwa peleka salam kwa yule wangu muhibu....

eti "baba swalehe unapenda mpira hadi unasahau familia yako,unatizama wanawake kuliko alama za barabaran"
 
Unafwatana na rafikiiii daily utadhan unabalehe.

Kumbe wewe ni baba vick,yeye mwenzako baba swaleh.

Acha kuishi kibachelor ndani ya nyumba utaleta maseke.

Hahaaa utakuwa unaangukia kwenye hivi virusi.

me napenda mpira tu,hvyo vngine havinihusu
 
Nyimbo ina jumbe au tenzi zipi

Unafwatana na rafikiiii daily utadhan unabalehe.

Kumbe wewe ni baba vick,yeye mwenzako baba swaleh.

Acha kuishi kibachelor ndani ya nyumba utaleta maseke.
 
Back
Top Bottom