screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,902
- 15,932
Salamu wandugu,
Juzi hapa niliwaletea malalamiko yangu wanaMMU namna gani ninavyoteseka nyumbani kwangu baada ya kuoa mke asiyejua kupika wali (ubweche) hadi nnajihisi kuloose weight maana ni chakula nnachokipenda kuliko vyote duniani, ila sikuwaeleza tatizo jingine la huyu mwanamke,
Mwanzoni wote tulikuwa wakatoliki, ila naona mwenzangu siku hizi kaokoka mwenyewe anasema 'ameijua kweli', kinachonikera zaidi ni tabia yake ya kusali kupita kiasi, yaani daily anaspend at least masaa matatu kanisani mida ya jioni, na akitoka church sio kwamba ndo kamaliza, akirudi nyumbani kabla ya kulala anasali na kukemea mapepo karibu nususaa,
Akistuka usiku anakemea mapepo, akiamka asubuhi anakemea mapepo, na ole bahati mbaya akatize paka karibu yake, atamkemea hadi majirani watajua.
Je hii ni nini, ni dalili ya kutanuka kwa expansion joint yake ama ndio upako?