One man downHi Hali sielewi kabisa, Mke wangu ANAMIMBA NATAPIKA MIMI, Kisayansi hii ikoje, sielewi kabisa
Kisayansi inaitwa.....Couvade Syndrome au Sympathetic Pregnancy.Hi Hali sielewi kabisa, Mke wangu ANAMIMBA NATAPIKA MIMI, Kisayansi hii ikoje, sielewi kabisa
Una couvade syndrome mkuu😂Hi Hali sielewi kabisa, Mke wangu ANAMIMBA NATAPIKA MIMI, Kisayansi hii ikoje, sielewi kabisa
Lamba ndimu!Hi Hali sielewi kabisa, Mke wangu ANAMIMBA NATAPIKA MIMI, Kisayansi hii ikoje, sielewi kabisa
AminaHili suala lipo kisayansi kabisa nimesahau jina tu. Usiogope comments za wajinga ni hali ya kawaida kabisa. .
Kuna wengine mpaka zile symptoms za ujauzito wanazipata, kuongezeka uzito, kuvimba chuchu nk. .
Mungu akutangulie uwe baba bora kwa watoto wako. .