Mke wangu ana Kitambi sana ,hataki kutumia dawa/,kufanya mazoezi kiishe

Daaah salama Wananzengo

Huyu mke wangu kila siku anazidi kunenepeana na kutoka kitambi

Baada ya kuzaa mtoto wa pili ndo imekua balaa kila siku anazidi kufumuka tu

Tumbo limekua kubwa yani ana kitambi kumzidi hata Lugola

Wife yeye ni mwendo wa kula kuku na mapocho pocho ,huko kazini anakaa tu kwenye kiti cha kuzunguka yani hana habari, kabweteka jimwili linakuja kasi hadi kero

Nimemshauri atumie tiba mbadala apunguze kitambi au afanya mazoezi apunguze kitambi hataki yani kila siku ananipiga sound tu

Ebu niambieni wana Nzengo njia gani nzuri niitumie huyu mwanamke apunguze mwili awe kimbau mbau manake hata ninapompiga mkuyati kuna baadhi ya style anashindwa kuzichakata vyema.

hapo kwenye tumbo kama wizara ya mambo ya ndani na disco
 
Naona njia nzuri ushirikiane nae kwenye kupunguza mwili wake,ikiwa yeye kama yeye hafanyi jitihda binafsi,mfano unamkampan mazoezi,unahakikisha unaplay part kwenye ratiba ya ulaji na vingine
 
Wanaume mna gubu jamani eeh magunia nyie,unene nyie et etc..mwache atapungua ťu muda ukifika
 
Kitambi kukipata ni rahisi sana ila kukiondoa ni shughuli pevu kama kuitoa , c c m madarakani
 
Daaah salama Wananzengo

Huyu mke wangu kila siku anazidi kunenepeana na kutoka kitambi

Baada ya kuzaa mtoto wa pili ndo imekua balaa kila siku anazidi kufumuka tu

Tumbo limekua kubwa yani ana kitambi kumzidi hata Lugola

Wife yeye ni mwendo wa kula kuku na mapocho pocho ,huko kazini anakaa tu kwenye kiti cha kuzunguka yani hana habari, kabweteka jimwili linakuja kasi hadi kero

Nimemshauri atumie tiba mbadala apunguze kitambi au afanya mazoezi apunguze kitambi hataki yani kila siku ananipiga sound tu

Ebu niambieni wana Nzengo njia gani nzuri niitumie huyu mwanamke apunguze mwili awe kimbau mbau manake hata ninapompiga mkuyati kuna baadhi ya style anashindwa kuzichakata vyema.
0713
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom