Allan Rwego
Member
- Jul 25, 2021
- 20
- 115
Chief hilo ndio umeona eh natamani madogo niwarudishe kwa bibi yao nimchakate tu leoHongera sana kwa kumchosha waifu
hya bhana ndo ujifunze asiondoke tena..Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea. Nikiri,nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa kila aina kuna wengine wanweza kukufanya ukaharibu kabisa.
Member mmoja alinishauri niendelee kumtafuta na nilipambana mno kumtafuta
Jana nimewachukua nyumbani kwao rasmi. Leo nimeamka mapema kuwaandalia breakfast baada ya kumchosha sanaa waifu na game zitooo la kulikosa karibu mwezi mzima. Watoto wangu leo nina mipango nao kama yote mazee. Shukran
Lesson:
1. kama kichwa nitailinda hii familia kama kichwa kwelikweli. Na nyie washauri wa ajabu sijui nikome aniache,hajaniacha sasa
2. Mkikoseana sameaneni ni heri shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua na ulieanza nae maliza nae
Blaza kwa ulivyoandika una stress sanaaaa. Anipelekeshe tu fresh kabisa si watoto watanufaika.Unaonekana bado hujawa na uwezo wa kua baba wa familia, kua kichwa, you are not a man enough. Wewe ni mkia.
Na kwa mtindo ho huyo mwanamke atakua anakuacha mara kwa mara sana.
Halafu unajidanganya eti mkeo hajapata game mwezi mzima, nani kakudanganya?
Huyo mwanamke hakupendi ila wewe ndio unampenda sana. Atakupa shida sana. Inaonekana karudi sababu ya watoto na sio sababu anakupenda.
Expect the worsts.
Fresh tuuuWe tuseme tu. ila nakwambia haitakua the same kama zamani
Ni kwakoSi kwa wote eti kila ulieanza nae lazima umalize nae, wengine wapiga debe tu stendi lakini hawasafiri...
Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.
Nikiri, nilimsumbua sana hata alipokuwa hajibu au anarudisha hela nilizokuwa namtumia. Ila humu ndani kuna ushauri wa kila aina kuna wengine wanweza kukufanya ukaharibu kabisa.
Member mmoja alinishauri niendelee kumtafuta na nilipambana mno kumtafuta
Jana nimewachukua nyumbani kwao rasmi. Leo nimeamka mapema kuwaandalia breakfast baada ya kumchosha sanaa waifu na game zitooo la kulikosa karibu mwezi mzima. Watoto wangu leo nina mipango nao kama yote mazee. Shukran
Lesson:
1. Kama kichwa nitailinda hii familia kama kichwa kwelikweli. Na nyie washauri wa ajabu sijui nikome aniache, hajaniacha sasa.
2. Mkikoseana sameaneni ni heri shetani unaemjua kuliko malaika usiemjua na ulieanza nae maliza nae.
Pia soma: Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?
We mwenzio toka mwanzo kasema yeye ndo chanzo cha mkewe kuondoka na amekuwa akimsumbua mkewe, we unageuka kuwa msemaji wa moyo wa mkewe tena kwa hasira kabisa sa ulitaka waachane amuoe nanUnaonekana bado hujawa na uwezo wa kua baba wa familia, kua kichwa, you are not a man enough. Wewe ni mkia.
Na kwa mtindo ho huyo mwanamke atakua anakuacha mara kwa mara sana.
Halafu unajidanganya eti mkeo hajapata game mwezi mzima, nani kakudanganya?
Huyo mwanamke hakupendi ila wewe ndio unampenda sana. Atakupa shida sana. Inaonekana karudi sababu ya watoto na sio sababu anakupenda.
Expect the worsts.
Wa ushauri wa hivi mara nyingi hawajaoa/kuolewa, anakurupuka tu anahisi kuachana ndo njia pekee ya kusolve migogoro ya ndoa kama anavoachana na boyfriend/girlfriendUnaonekana bado hujawa na uwezo wa kua baba wa familia, kua kichwa, you are not a man enough. Wewe ni mkia.
Na kwa mtindo ho huyo mwanamke atakua anakuacha mara kwa mara sana.
Halafu unajidanganya eti mkeo hajapata game mwezi mzima, nani kakudanganya?
Huyo mwanamke hakupendi ila wewe ndio unampenda sana. Atakupa shida sana. Inaonekana karudi sababu ya watoto na sio sababu anakupenda.
Expect the worsts.
Hii maneno nimeipenda sana...Si kwa wote eti kila ulieanza nae lazima umalize nae, wengine wapiga debe tu stendi lakini hawasafiri...