Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu

Mkuu isijekuwa ulimkosesha makusudi ili usiwe nae ofisi moja ili ufanye yako vzur
 
Wanawake wengi vichwan hamna kitu, mpaka tuvue kichupi unapata kidigrii chako kwa raha zako, sasa kazi inakuja kwenye interview ndio kibebe hapo.
 
Wanawake wengi vichwan hamna kitu, mpaka tuvue kichupi unapata kidigrii chako kwa raha zako, sasa kazi inakuja kwenye interview ndio kibebe hapo.
Ubarikiwe kwa kua mkweli.
 
toa mfano
 
yaani mkaita watu kwenyw interview huku tayarj mmeahachaguwa watu wa kuwaajiri???
 
Mara nyingine huwa nataman Final Exams za vyuo zingekuwa zinafanyika ka National Exam za form 2, 4 na 6 ili angalau tupate wasomi stahiki
 
Hahhahahahha umemikumbusha maisha ya chuo mwalimu alishampa sup ya uchumi mke wake yaani mama watoto.
 
Hebu mlete tuition kesho nimfundishe atakuwa kasahau tu, mimi ndio mchawi wa hesabu TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…