Sebene limeanza usiku, kutokana na tabia yake ya udukuzi wa simu yangu hasa upande wa sms na last calls wakati nimelala.
Asubuhi akaamka na mimi tena, nikaona isiwe tabu ngoja nimuepuke ibilisi nikajiendea church, kuepusha shari zaidi nikaunga juu kwa juu kwenye issue zangu ili hasira zake zipoe
Nimerudi kweli kapoa, tukaanza story hapa na pale kisha akaona kucha zangu zimekua ikabidi aanze kunikata ofcoz ni tabia yake kufanya
Hivyo
Hee! Ile nashtuka si kang'oa likucha lote aisee, sasa nashindwa kuelewa sijui ni mistake tu au kafanya makusudi au sijui lile bifu laendelea.
Ila kanipa pole ila sizani kama anamaanisha, hayo maumivu yake ni balaa sasa cjui nimpe adhabu gani aisee ndoa hizi jamani ni balaa
Angalizo:vijana msioe wala kuolewa