Mke wangu amebadilika tabia anataka nimnunulie kijibwa

madala mujipa

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,417
860
Salaam kwenu
Mpaka sasa wadau naona kama ndoa imeingiliwa na jinamizi na mpaka sasa naona tabu,mke wangu amebadilika kisa hapo jirani kuna mtu ana kijibwa na yeye amekuja juu anataka kijibwa,kwanza nataka kujua mpaka hii kesi nimeileta hapa

1.Kijibwa kina faida gani hakileti hata maziwa
2.kina raha gani kwa waliowahi kukifuga
3.Na ni bei gani kinauzwa

Ni hayo tu zaidi ya hapo nina peni na karatasi hapa mkononi mwangu
 
Kwakua umeuliza bei najua utamnunulia tu.

Kasikilize wimbo wa akitakacho binti wa O ten na Linex.
 
Back
Top Bottom