G GOD LOVE Member Joined Jan 14, 2016 Posts 21 Reaction score 26 Mar 14, 2016 #61 Tatizo mkiambiwa mshirikishe Mungu katika kupata Mke naona mnachelewa,kiambiwa mchunguze mpk ukoo wake Mnaona ya kizaman mmebaki kutaka viuno na Mikia na haya ni matokeo yake mnasahau ndoa ni zaid ya viuno na mikia
Tatizo mkiambiwa mshirikishe Mungu katika kupata Mke naona mnachelewa,kiambiwa mchunguze mpk ukoo wake Mnaona ya kizaman mmebaki kutaka viuno na Mikia na haya ni matokeo yake mnasahau ndoa ni zaid ya viuno na mikia
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 14, 2016 #62 Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahajaj Acha tu nipite
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,570 Mar 14, 2016 #63 Kamwambie arudishe bata! Halafu yeye aendelee kukaa huko!
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,734 Reaction score 4,395 Mar 14, 2016 #64 gfsonwin said: hizi familia za siku hizi ni majanga yaani huyu kachukuliwa bata wawili tayari uzi jf..............kweli kazi ipo Click to expand... Daaa sina mbavu kwa kweli
gfsonwin said: hizi familia za siku hizi ni majanga yaani huyu kachukuliwa bata wawili tayari uzi jf..............kweli kazi ipo Click to expand... Daaa sina mbavu kwa kweli
linguistics JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 4,734 Reaction score 4,395 Mar 15, 2016 #65 Evelyn Salt said: Ha ha ha ha ha hata mie hao bata wananiuma kwakweli Click to expand... Bata WAWILI....ha ha haaa
Evelyn Salt said: Ha ha ha ha ha hata mie hao bata wananiuma kwakweli Click to expand... Bata WAWILI....ha ha haaa