adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Hii ilinikuta mke pale alipotoa memory card yang na kuweka kwake mapicha ya utupu akakuta nikajitetea zilitumwa katika group la wassup,yaliisha ila kila me nikimtuhumu kuchat na midume anajib 'we endelea kufatilia ukifanikiwa utaamua mwenyewe'sijaelewa .
Kadhamiria kunikomoa au anachat hivyo na wanaume wengine roho yake itulie sababu nimempa kovu, au analipizia maana jinsi anavyochat yeey ndo kama anajitongozesha kwa midume,ila anaochat nao wapo ughaibuni.
Ushauri nipige chini hii kitu nivute ingine au niwe mpole kumwambia aache mambo hayo ananiumiza sana moyo.
Ushaur please!