Mke wake ni mchawi afanyaje?

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Kuna rafiki yangu ana mke wake, usiku mmoja wakati wamelala mida ya saa saba usku akaota anaona wachawi wanaingia chumbani mmoja kapanda fisi wengine kama watatu wanatembea.

Mara akaanza pambana nao huku akisema kwa jina la Yesu akafanikiwa kumkamata mmoja akaanza kumpiga sana ile anakuja stuka akakuta amemshika mkewe anampiga mara mkewe akakurupuka akakimbia toka kitandani.

Mara nyingine tena akaota kuna mchawi amekaa kitandani anamwangalia jamaa usoni anacheka cheko la kubwa sana, jamaa akaanza kupambana nae ile anainua mkono kumpiga kibao.

Akashangaa mkewe anaruka kwamba anataka kupigwa na jamaa.Kingine sasa cha ajabu mara nyingi huyu mwanamke wakipishana kidogo na mumewe huwa anafikia hatua ya kumtukana mumewe eti shoga wakati sio kweli.

Lakini jamaa anadai alishawahi kuota zaidi ya mara moja mkewe anajaribu kumuingizia kidole kwenye makalio but huwa anapambana nae mpaka anashnda halafu anastuka usingizini. Hii ni kweli kabisa maoni yenu wakuu jamaa yuko njiapanda.

Ushauri wenu wakuu
 
Sijui ni ulewa wangu duni?

1. Ivi kama mume na mke wamelala kitanda kimoja akaota mume kama hivyo na wengine huwa wana ndoto za vitendo atakae guswa ni nani wa karubu zaidi ya mke?

2. Mkewe kamwambia yeye ni shoga, na mume anadai alishaota mkewe akimuwekea vidole uko uwani, yawezekana akiota anazungumza vitu vya ajabu.

Ndugu yako anabadili hisia kwenda kwenye ukweli, ayupo sahihi. Yeye ndio atakua na tatizo wala sio mkewe ajichunguze
Washauri wawe wana sali kabla ya kulala
 
He inawezekana labda,mwambie jamaa yako afanye maombi kama sio wewe.
 
Mpelekeni huyo mwanamke kwa Dr Ngwajima akafanyiwe check up
 
Sidhani kuwa mwanamke ni mchawi ila shetani anataka kusambaratisha ndoa yao kwani ameona ndio baraka zake zinapotokea na ndio maana anatumia taswira ya mke wake ili aone ni mchawi.Cha muhimu ni kuomba/kusali kabla na baada ya kulala ,soma biblia etc kwa ufupi muda mwingi uwe una waza neno la Mungu na likae ndani yako utashinda na watakimbia.La sivyo unakaribisha umaskini,mikosi kwenye maisha yako
 
Eeeeeeeeeeehhh mungu wangu Leo mke anamwita mume wake "SHOGA"duuuuuuuu kazi ipoo
 
innocentmollel

Na yeye anamchekea, huyo anapewa kelbu takatifu mwenyew akimuona anamwamkia shikamoo mume wangu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwanaume shoga kweli.....unaitwa shoga na huyo mwanamke bado uko nae??:angry: msaada hapa naomba kuuliza makalio yana sehemu ya kuingiza kitu? au panapoingizwa kitu (kidole) ni ..mk.....u....ni?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…