Mke wa Zelensky afanya kufuru ya kutisha kwa pesa za msaada wa kivita

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Hii ni ya moto bado

Imebainika ya kuwa mke wa raisi wa 'Ukhraini', madam Elena Zelensky anafanya 'matanuzi ya kufuru', ikiwa ni pamoja na kununua vito vya dhamani vyenye gharama kubwa kwa kutumia fweza ambazo zinaaminika ya kuwa ni pesa za misaada ya kivita ambayo 'Ukhraini' inazipokea haswa kutoka taifa la Marekani na washikrika wake wa jumuiya ya NATO.

Mwanamama huyo juzi kati jijini New York city nchini Marekani alinunua kito cha dhamani Dola millioni moja ambayo ni sawa na shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.

Ikumbukwe ya kuwa pesa hizo za msaada wa kivita dhidi ya Urusi ni pesa za walipa kodi na wavuja jasho wa NATO ambao wengi wao wanateseka vibaya sana na ugumu maisha, hali inayopelekea wengine hata kushindwa kula milo miwili kwa siku.

Hii inadhihirisha ya kuwa Zelensky na serikali yake tiyari ni mabilionea wa kutupwa kwani hivi karibuni mitandaoni kumekuwa na habari mbali mballi zinazowanyesha watumishi wenye nyazfa kubwa katika serikali ya Zelensky pamoja na familia wakifanya matanuzi makubwa na kumiliki mali za kifahari kama vile majumba na maboti (yacht).

Ufisadi huu katika serikali ya Zelensky umeanza kuibua kelele nyingi mitandaoni mpaka kufukia hatua katika baadhi ya nchi wahisani (USA and Europeans countries) wa vita ya 'ukhraini' kutaka kusitisha misaada wanayoitoa.

Pichani haponi risiti ya malipo ya Elena Zelensky inayoonyesha thamani ya kito alichokinunua New York.

Cc: nakala kwa MK254 et al.

IMG_20231005_160938.jpeg
IMG_20231005_160904.jpeg
IMG_20231005_161025.jpeg
 
Inasikitisha.
.

.

Nilidhani utakuja na ushahidi kuweza kukanusha hii taarifa kumbe unaleta mipasho yako.

hehehe hizi pang'ang'a hazitowasaidia kitu sheikh...kwa kifupi Putin kawaingiza chaka na maeneo yanamtoka puani..... Alithubutu kuparamia nchi ya watu, na kumpa rais Zele masaa 24 aihame nchi, kapiga bembea za watoto na kuua raia, badala mkemee huo udhulumaji mnakimbilia kujificha kwa mke wa Zele.....
 
Hii ni ya moto bado

Imebainika ya kuwa mke wa raisi wa 'Ukhraini', madam Elena Zelensky anafanya 'matanuzi ya kufuru', ikiwa ni pamoja na kununua vito vya dhamani vyenye gharama kubwa kwa kutumia fweza ambazo zinaaminika ya kuwa ni pesa za misaada ya kivita ambayo 'Ukhraini' inazipokea haswa kutoka taifa la Marekani na washikrika wake wa jumuiya ya NATO.

Mwanamama huyo juzi kati jijini New York city nchini Marekani alinunua kito cha dhamani Dola millioni moja ambayo ni sawa na shilingi bilioni 2.5 za kitanzania.

Ikumbukwe ya kuwa pesa hizo za msaada wa kivita dhidi ya Urusi ni pesa za walipa kodi na wavuja jasho wa NATO ambao wengi wao wanateseka vibaya sana na ugumu maisha, hali inayopelekea wengine hata kushindwa kula milo miwili kwa siku.

Hii inadhihirisha ya kuwa Zelensky na serikali yake tiyari ni mabilionea wa kutupwa kwani hivi karibuni mitandaoni kumekuwa na habari mbali mballi zinazowanyesha watumishi wenye nyazfa kubwa katika serikali ya Zelensky pamoja na familia wakifanya matanuzi makubwa na kumiliki mali za kifahari kama vile majumba na maboti (yacht).

Ufisadi huu katika serikali ya Zelensky umeanza kuibua kelele nyingi mitandaoni mpaka kufukia hatua katika baadhi ya nchi wahisani (USA and Europeans countries) wa vita ya 'ukhraini' kutaka kusitisha misaada wanayoitoa.

Pichani haponi risiti ya malipo ya Elena Zelensky inayoonyesha thamani ya kito alichokinunua New York.

Cc: nakala kwa MK254 et al.

View attachment 2772721View attachment 2772722View attachment 2772723
Kwa hiyo chawa wa mama ndio mmefikia huku ?
 
Mnafaa mlaumu uharamia wa Putin kuvamia taifa huru la Ukraine na kuua wa Ukraine wasio na hatia na kuteka maeneo ya Ukraine sio kuleta utetezi wa kinafiki kujifanya mnauchungu na pesa za NATO kuliwa na mke wa Zelesky hizi ni propaganda za kinafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwa muda mrefu waukraine wamekuwa wakicomplain juu ya ufisadi wa serikali ya zelensky. Nachojifunza watawala wanaowekwa/kukingwa na west huwa ni corrupt. Nadhani isingekuwa vita, basi utawala wake ungepata public dissaproval!
 
Back
Top Bottom