Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Mleta thread lete ushahidi pls
Mkuu naona ni hii thread ipo kwenye Joke. Hivi joke nazo zinahitaji ushahidi??? Makubwa tena.
Wewe tuliza kitenesi wakati natumia haki yangu ya kikatiba ya ku-post kile ninachokiona ni sahihi. Sawasawa?
haki yako ipi bana wee, vipi mbona unanifuata fuata na avatar yangu, wakati nami ni haki yangu, mkuki mtamu kwa nguruwe ila kwako ndio mchungu, grow up
ChaMtuMAVI, sikujui hunijui sikujui hivyo habari za kusema nakufuata ukome. My wife wangu akipita hapa na kusoma madai yako huoni utanisababishia matatizo? Kuhusu avatar yako, nimetoa maoni yangu, kama ni ya msingi yatafanyiwa kazi. Na wewe unaruhusiwa kutoa yako. Ndio demokrasia hiyo.
wenye wake zao wamepumzika, nakama ni kuexercise demokrasia naona somo la demokrasia lilikushinda, demokrasia inaapply both sides, si kwa nguruwe tu hata kwa binadamu inaapply, kwa hiyo acha mkeo aje aone unavyonifuata fuata na avatar yangu, ndio atajua kuw ani vitu gani unapendelea
yaani umeona avatar yangu tu, ukaishia kuja na vioja, umelikoroga na sasa utalinywa
Bwa ha ha ha..
you are most welcome
Inaonekana nyie mlinyimana kitu huko bar, vinginevyo thread inayomhusu Manji msingeigeuza kuwa yenu tu.