Katika hali iliyoonyesha mahusiano mabaya ya kifamilia yanayosababishwa na wana siasa kujali sana siasa kuliko majukumu yao ya kifamilia jambo moja baya ambalo limejitokeza siku chache zilizopita mjengoni ni pale mke wa Mh Selelii ambaye ni mbunge wa Nzega alipopanga foleni kudai posho iliyokuwa ikitolewa kwa madiwani wa viti maalumu wa wilaya ya NZega. mchezo wenyewe ulikuwa hivi! Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora Mh Aziza Sleyum Aly alitoa mialiko kwa madiwani wa viti maalumu wilaya ya Nzega nafasi ambayo Mh Selelii pia aliona aitumie nafasi hiyo pia kumualiaka mamsapu wake pia ambaye vyanzo vya habari vinadai kuwa ilikuwa ndio mara yake ya kwanza kukanyaga mjengoni! baada ya matukio yote kwenda kama yalivyopangwa na mwenyeji wao ambaye alikuwa ni Mb viti maalumu nilie mtaja, mwenyeji huyo aliamua kuwapatia wageni wake package ambayo ingeweza kuwa kimu katika maisha ya Dodoma kwa siku chache watakazo kuwepo hapo. katika hali ya kustaajabisha mama selelii nae alipanga foleni katika mgao huo kitu kilichomfanya Mh Aziza anong'one na baadhi ya madiwani kushangaa sababu ya maam selelii nae kupanga foleni ya mgao wakati aliye mwita Dodoma ni mumewe yaani Mh Selelii hata hivyo Mh Aziza alilazimika kumpa posho mama huyo huku akinung'unika, swali hapa je mke wa Mh selelii kudai posho katika mgao wa madiwani ni sa hihi wakati hakuitwa na aliyekuwa akigawa posho hizo?

Mkuu kama sio jungu labda sijaelewa vizuri. Naona swali hapa lingekuwa kwanini Mh Aziza ampe posho mtu ambaye si diwani. Yeye ndiye aliyetekiwa kuwajibishwa au anatakiwa kuulizwa kwanini anatoa mgao kwa mtu asiyestahili. Just opinion, i stand to be challenged and corrected.
No! Mh Aziza alikuwa akigawa posho kwa watualiowaita mjengoni! mama selelii akapanga foleni kitu kilicho mlazimu mgawaji nae atoe posho hiyo kwa mtu asiye stahili ni kama vile umeandaa tafrija unagawa kadi halafu mtu anakuja bila kadi yaani gate crasher
Naye mama Selelii kwa nini afanye hivyo? Ama kweli ubinafsi hauna aibu!
Na hii wala haithibitishi hilo linaloelezwa kuwa ni kung'ang'ania au kudai kama ambavyo tulitakiwa kuaminiMimi nilitegemea kuwa alifuatwa na kueleweshwa kwamba amepanga foleni ambayo haimhusu. Badala yake anapewa posho kwa kuonewa aibu...!!!
Mifano kama hii ni dhahiri wa kulaumiwa ni sisi Wananchi wenyewe wala sio viongozi.
Msimlaumu huyo mama, kama mwandishi alivyosema ni mara yake ya kwanza mjengoni, yawezekana kabisa alikuwa hajui kinachoendelea, alivyoona watu waliokuwepo ukumbini wanapanga mstari basi na yeye akaunga bila kujua kuwa alialikwa kusilikiza tu na sio kugawana kodi zetu. Wakumlaumu ni Mume wake kwani kama vile alivyomualika basi angekuwa na wajibu wa kumuongoza pia katika mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na hilo badala ya kumuacha adhirike mbele za watu. Ni kitu cha kawaida kabisa mtu unaweza kujikuta katika mazingira flani hasa ugenini unajikuta unafanya vile wenyeji wanafanya bila hata kujiuliza sababu, Unakuja kushtuka mwisho ukiwa umeshachelewa. Yawezekana haukuwa nia yake kutoka moyoni