Nami pia huyu mama Kweli ni First Lady mama wa wote. Nampenda sana she is so humble!Nimependa dress code za first lady wetu.....
she's alwayz humble ...Mungu amtunze asije kuwa na matashititiiii ya ajabu ajabuNami pia huyu mama Kweli ni First Lady mama wa wote. Nampenda sana she is so humble!
Kwa kila jema tunamtakia 1stlady !! ila Binaadamu yyte hana dhaman na maisha yake !! MwanAdamu hubadilika badilika ......she's alwayz humble ...Mungu amtunze asije kuwa na matashititiiii ya ajabu ajabu
Amen Meku7she's alwayz humble ...Mungu amtunze asije kuwa na matashititiiii ya ajabu ajabu
MwanaAdamu anaudhaifu mkubwa !! maana mtu akiangalia kulia kwake kuna J.Kenyetta, Kushoto kuna J.M7.. na nyuma alipotoka mmmh !! sasa Wapambe nao wanaelemea....!!Unadhani ni kweli kabisa. Iliyobaki tumuombee!