Mke wa Rais Afumaniwa!!

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,567
Reaction score
112,222
Mume: Nilitamani sana muda huu ufike.

Mke: Vipi wataka niondoke?

Mume: Hapana hata kidogo.

Mke: Unanipenda?

Mume: Ndio maana yake.

Mke: Utaniletea demu mwingine ndani?

Mume: Siwezi kufanya huo upuuzi

Mke: Je utanibusu milele?

Mume: Kila mara kila wakati.

Mke: Je utanipiga?

Mume: Aa haiwezi kutokea

Mke: Naweza kukuamini?

Mume: Ndio

Mke: Aaaaaah Mpenzi?

Ukitaka kujuwa uhalisia wa mambo baada ya ndoa huwaje anza kusoma thread hii mahojiano ya Mume na Mke kutoka chini kwenda juu.

Nb: Wabongo kwa kupenda kudanganywa ndio maana Shigongo anaingiza mamilioni kwa heading za kusadikika.
 
Vipi Matola, leo Ritz kakupokonya pasiwedi yako nini?
 
Last edited by a moderator:
Hii kali!
Muache tu Shigongo atafune pesa zetu
 
ha ha ha nimeipenda hii, kwaio maisha ya ndoa huwa yanafika sehemu yanageuka nyuma mbele na kuanza kurud kinyumenyume
 
mpaka leo napenda story za shigongo, ila maswala ya kutusomesha risasi, kiu, ijumaa hatuyawezi. atoe kitabu tumuunge mkono. ila hayo magazeti yake asome yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…