Mke wa Pius msekwa

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
Wana Jf tumekuwa tunabishana kuhusu mke wa Pius msekwa ni nani
 
Mrs. Msekwa mwenye ndoa, au siku hizi wa mjini wanasema mke halali anaishi Survey kwenye nyumba yake yao. Huyu mama aliachwa inasemekana alicheat mumewe akiwa safarini ila hakuwahi kushikwa readheanded. Japokua Mzee nae alikua akichepuka alipogundua akaamua kumuacha na kuhalalisha mchepuko wake (Anna Abdalla) Kimbembe kilikuja wakati ndoa inataka kufungwa catholic kama kawa wakaipiga chini naskia wakaenda kwa JeiKei Nyerere ikashindikana kesi ikaenda Vatican ndoa ikapingwa sababu hakukua na ushahidi wakaamua waendelee tu kuishi. Ubuyu kanipa mamangu alikua rafiki yao wa karibu,msiniulize tena ila huo ndo ukweli, Mrs. Msekwa yuko anaishi survey si yule Anna nooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…