Mke wa Pili...

hiyo ndio maana yake haswaa, mkileta jeuri tunavuta wa pili, wa pili naye jeuri tunavuta wa tatu mpaka mkome, chezea vidume wewe. Hongera Mzee Chande

Mkuu Mentor umetisha, tafadhali malizia hako kastori kana uhondo balaa

Wee,kwanza hao wanawake wa kuwaletea mke mwenza huwa mnawaomea,mi cjaona bado mwanaume wa kuniletea mwenzangu!!
Thubutuuuuuu....!!
 
na dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzie maana hatujaona mwanaume akisifia mwanaume mwenzake kwa kulala na mke wake.

Wahenga walisema, "Dawa ya moto ni moto":tongue:

Umepata summary unisimulie

Acha uvivu mkuu...



Ndo kwanza namtafuta wa kwanza happiness win...
 
Last edited by a moderator:
Jamani inauma sana na hasa mke wa kwanza kama alikua anajiona yeye ndio yeye na mume hawezi kuoa,siku akioa ndio
hata nywele hachani..
 
thank you my beloved....wasalimie huyo NYATWALI.....(sijui ndo wapi)

huko ni kanda ya ziwa opposite na serengeti,kinachotenganisha ni barabara kuu ya mwanza-musoma karibu sana kuna ziwa utakula samaki wa kutosha @
 
kama una moyo mmoja..basi utapenda mmoja

uwa sikubaliani na suala la wake wengi asee..kutiana mawazo tu

mzee utulivu F
 
kama una moyo mmoja..basi utapenda mmoja

uwa sikubaliani na suala la wake wengi asee..kutiana mawazo tu

mzee utulivu F
mimisa get serious.

Mume mwenye wake wengi actually anakuwa ametulia since muda wake unakuwa equally distributed kwa wake zake. Hana muda na wengine wa nje.

#mtazamoWangu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
inaburudisha ila ina kauongo ndani yake by that time simu tz ilikuwa ni ishu..............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…