Mke wa Mugabe arejea nchini Zimbabwe Leo

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe leo amerejea nchini humo licha ya shutuma za kumshambulia mrembo wa miaka 20 Afrika Kusini

Vyombo vya habari nchini Zimbabwe zinasema mkewe rais Mugabe, Grace Mugabe amerejea nyumbani kutoka Afrika kusini licha ya kukabiliwa na mashtaka ya kushambulia mwanamitindo Gabriella Engels katika hoteli moja Johannesburg.

Inaeleweka kwamba Grace Mugabe alisafiri pamoja na mumewe leo asubuhi.
Wawili hao walikuwa wanahudhuria mkutano wa kikanda Afrika kusini.
Haijulikani ikiwa serikali ya Afrika Kusini ilimpa Bi Mugabe kinga ya kidiplomasia.

Mwamitindo Gabriella Engels 20, alimshtumu Bi Mugabe kwa kumpiga baada ya kumpata akiwa na watoto wake wawili wavulana ndani ya chumba kimoja cha hoteli huko Sandton, mtaa mmoja wa kifahari kaskazini mwa mji wa Johannesburg

===================================================================

The wife of the Zimbabwean leader, Robert Mugabe, has returned home from South Africa, despite allegations of an assault at a hotel in Johannesburg.

Grace Mugabe, 52, landed at Harare early on Sunday, Zimbabwean radio said.
She had intended to appear at a summit on Saturday but failed to show. She also applied for diplomatic immunity but it was unclear if this was granted.

Mrs Mugabe had been accused of hitting a 20-year-old woman over the head with an extension cord.

Zimbabwe's ZBC state broadcaster said: "President Robert Mugabe, accompanied by the first lady, arrived on board an Air Zimbabwe flight early on Sunday morning."
It showed pictures of her greeting officials at Harare airport.

Mrs Mugabe had been due to take part on Saturday in the first ladies' programme at the Southern African Development Community heads of state summit in Pretoria, which Mr Mugabe, 93, was attending.
South African police had said they wanted to interview Mrs Mugabe and set up a "red alert" at the country's borders to try to ensure she did not flee the country.

It remains unclear whether South Africa's government granted Mrs Mugabe's plea for diplomatic immunity. She has not commented on the allegation. Lawyers for Gabriella Engels, the woman who accused Mrs Mugabe of hitting her, say their client was offered money to drop the case but she refused.

Ms Engels appeared at a press conference on Thursday with a large plaster on her forehead.
She told the BBC: "She hit me with the plug and the extension cord. And I just remember being curled down on the floor with blood rushing down my face and down my neck."

The South African Broadcasting Corporation said the Mugabes were scheduled to attend a funeral for a state minister at Harare's Heroes Acre on Sunday.


BBC
 
Vyombo vya habari nchini Zimbabwe vimeripoti kuwa mke wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bi Grace Mugabe amerejea nchini humo kutoka Afrika Kusini licha ya kutafutwa na jeshi la polisi kujibu mashtaka ya kumshambulia Mwanamitindo Gabriella Engels katika hoteli moja jijini Johannesburg.

97453274_fd30e092-f13d-4cc0-baf4-e8f54340e63a.jpg

Bi Grace Mugabe

Bado haijajulikani kama serikali ya Afrika Kusini imempa Bi Grace Mugabe kinga ya kidiplomasia kwani awali ilielezwa kuwa alizuiliwa na mahakama nchini humo.

Mwamitindo Gabriella Engels 20, alimshutumu Bi Mugabe kwa kumpiga baada ya kumkuta akiwa na watoto wake wawili wakiume lwenye chumba kimoja cha hoteli nchini Afrika Kusini mtaa mmoja wa kifahari wa Sandton, kaskazini mwa mji wa Johannesburg.

Mawakili wa Gabriella Engels mwanamke ambaye anamshtaki Bi Mugabe kwa kumjeruhi, wanasema kuwa mteja wao alipewa pesa kuachana na kesi hiyo lakini akakataa.

Bi Engels, alionekana kwenye mkutano wa waandishi waahabari siku ya Alhamisi akiwa na bendeji kubwa kwenye uso wake huku Bi Grace Mugabe akikataa kufika mahakamani baada ya kushtakiwa wiki jana, akidai kuwa na kinga ya kidiplomasia.

Hata hivyo Mamalaka za Afrika kusini zimekanusha madai hayo kwamba Bi Grace Mugabe ana kinga ya kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom