Huyu ni mke wa mtu, nilijuana nae zaidi ya mwaka mmoja nyuma kabla hajaoelewa, tulikua marafiki na nliwai kumtongoza akagoma kumbe alikua na lijamaa linamjali na kumpenda kuliko kawaida.
Mbaya zaidi jamaa yupo ila kasafiri kikazi yupo hapa hapa nchini, sasa huyu mdada inshort anazidiwa na mme wake sana kiumri and hamtaki mmewe na toka aolewe wamekaa wote mwezi mmja tu na hajazaa.
Mbaya zaidi anamsumbua mmewe arudishe mahali ili amuache free, dah inanipa wakati mgumu na inshort mmewe ana maisha mazuri na nyumba na usafiri n.k but mwanamke hampendi na hataki ata kumzalia kisa anataka aolewe na mimi, sawa ni mzuri ana asili ya uarabuni na shape ipo.
But mimi nmemshauri, ikitokea nafasi namla tu but asimsumbue mme wake, kakataa kabisa, kwao ni karibu na nyumbani, na kwa mmewe ni mkoa wa mbali kidogo na sahivi yupo kwao, hashauriki na amesema hamzalii mpaka waachane.
La mme wake kakaza maana anampenda, kasema atakaesababisha amuache anawaua wote, na yeye anajiua