Mke wa mtu sumu

Itovanilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
2,311
Reaction score
5,158
Habari wanajamvi,
I hope mu wazima Kama Kuna wenye matatizo tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu

Kuna Jambo nimeona tukumbushane kuhusu tabia za kupenda wake za watu.KUMBUKA......


Katika familia za kipato Cha chini ambapo milo miwili ni shida tumekuwa wahanga wa kuchapiwa wake zetu.


Achilia kugongewa mkeo kwa ubize wa kazi,au upungufu wa nguvu za kiume,au kuwa na mwanamke ambaye umbile lake linawasisimua wanaume wakware.

Au pengine uhandsome wa mtu ambapo mkeo anapagawa na jamaa,au vijilift anavyopewa mkeo everyday aendapo kazini.

Labda mkeo aanzishe mahusiano na meneja au boss kwa ahadi ya kupanda daraja/cheo au MSHAHARA mnono .


Labda mkeo ampe mtu penzi kwa huruma,kwakuwa labda jamaa ni mlemavu ukiwete,uzeruzeru, au kumliwaza jamaa aliyefiwa na mkewe.

Au mke wangu anikomeshe kwa kutembea na mtu mwingine kisa nimemuajiri Vero kwenye kampuni yangu kwakuwa tu yeye ni hasimu wake toka utotoni.

Unatembea na mke wangu, kwakuwa ana umbo zuri na rafiki wa tamaa zako,

Unatembea na mke wa mtu,kisa upo kitengo Cha usaili,kumfanyia interview ngumu mtoto wa kike Ili akishindwa umuombe rushwa ya ngono kwa ahadi ya kumpitisha.


Ndugu zangu,rafiki zangu hasa wanaume wenzangu,hebu tizama chini hapo ulipo halafu sema,......

MKE WA MTU SUMU

Unajua kutongoza ni sifa ya kila mwanaume,naam kutongoza raha hasa pale unapowekewa kaugumu flani huku ukijua kabisa huyu hachomoki,

Eti unaambiwa kabisa,Mimi Nina mume wangu ....lakini ndio kwanza unang'ang'ana ni hatari na nusu.


Au ndio mkuki kwa nguruwe.........
Mke anauma wajomba,mnakaa gym kujaza vifua kwaajili ya wake za watu?


Dharau,kejeli,matusi na vitimbi vya kila aina katika kumsaka kiumbe ambaye Kama siyo kifo kututenganisha basi labda kuachana kwa mpango wa MUNGU.


Halafu anatokea mlugaluga mmoja anataka kuharibu mipango yako inakera sana,inauma mno.


Na wewe mwenye tabia za kuwa na relationship na Wake za watu hebu acha mara moja.maana ni afadhali ufumaniwe na mwanafunzi utaendelea kusavaivu ukiwa JELA.


NB:ukigundua usaliti wowote toka kwa mwenzi,epuka kufanya maamuzi magumu ambayo yatakufanya ukaishia JELA.


Corona ipo na inaua,chukua tahadhari,
 
Kutembea na mwanafunzi simple sana lakini mke wa mtu hapana aisee naogopa mapanga
 
Point mhimu kuliko zote ipo mstari wa mwisho😆😆😆😆 Alafu eti kisa mlemavu???? Huyo mwanamke atakuwa na laana kabisa.😆😆
 
Mkuu ...umekosea sana wake za watu ....WATAMU sana .....pia wana experience ya kutosha
 
Acha tuwale tu.

Kuna mwanajeshi ananitafuta mwezi watatu huu, nilimfumulia marinda mkewe.
 
Vijana wa siku hizi hawaelewi..wanasema Kama mke wa mtu sumu dudu zao Zina maziwa.😀
 
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…