mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,910
- 18,558
Wengi wanakubaliana kuwa mke wa mtu sumu wakiwemo kina dada wasio na waume! Lakini cha kushangaza hao kina dada ndio mabingwa wa kupapasa dyudyu za waume za watu!
Lakini pia waume wengi hung'aka kwa nguvu zote kuwa mke wa mtu sumu lakini wao ndio wa kwanza kusaliti wake zao! Yaani wao kusalitiwa ni sumu lakini wao kusaliti ni poa! Humu jamvini mnalionaje hili?
Karibun tudadavue mada!