Mke wa mtu kadata na penzi langu

Hii nayo ni sifa? Kama unamsaidia mwanaume mwenzio wajibu wake si ukae kimya? ya nini kutangaza! we si unajua kuchapiwa ni siri ya ndani?
 
I swear sitakuja kumsaliti mme wangu mpaka nakufaa
Tamaa mbayaa sanaa kuona cha kwako hakifai cha jirani eti kinafaa
Na wewe unaejigambaa kumchukua mke wa mtu ipo siku utakuja kulia humu kua umeliwa tigo
Kumbuka ukila vya wenzio na we vyako lazima vitaliwaaa
 
Na waswahili wanavopenda Tigo siku hizi mbona utaipata!

I am sure jamaa akiwaambia masela wa mtaani kuna tigo sehemu, wanakuja bila hata kuomba malipo!

Usisahau pia kuja kutuhadithia ulivotolewa utumbo!
 
Jiandae kufii r wa ----- wewe Mbona hutuambiagi namengine usipohama hapo lazima utaingiliwa tu pia utujuze siku ukiliwa unaona sifa enh?
 
Endelea tu,soon nawe utadata na penzi la mumewe.
 

nadhani hulitendei hilo jina haki yake "wisdom"
 
huwa wanadai mgonjwa akianza kuomba maji si dalili nzuri, i guess hata ww hiyo si dalili nzuri, kemea roho ya mauti hiyo mkuu!
 
Sijisifii ila nilikua nataka kuona koment nyingi hata hii story nimeitunga najiaandaa kuawa kama eric shigongo baadae napenda sana kutunga story pia kama kuna mtu anataka story ya movie ninazo ila naziuza ukiwa tayar kununua ni PM

Kazi ipo mwaka huu
 
Sijisifii ila nilikua
nataka kuona koment nyingi hata hii story nimeitunga najiaandaa kuawa
kama eric shigongo baadae napenda sana kutunga story pia kama kuna mtu
anataka story ya movie ninazo ila naziuza ukiwa tayar kununua ni
PM

We nawe!!!! si ungepeleka kwenye blog zinazohusika na hadithi au maigizo? Sina hakika kama utawapata wateja hapa MMU!
 
Zingefunguliwa leo ila c unajua sherehe za mapinduzi,tuendelee kuwavumilia tu na maujinga yao

Mimi naona tusiwavumilie badala yake tufungue jukwaa la watoto hapa wanatubana bure mpaka tunashindwa kuongea na mama zao kwa kuogopa watoto watasikia.
 

wazee wetu walikua na busara sana.... waliheshimu sana mipaka ya mawasiliano na umbeya wa kijinga

mwanaume wa kweli hawezi ku-kiss and tell; hata kama unapewa matundu yote, keep it to yourself

heshimu mwanaume mwenzako ili uheshimike na jamii....

bragging for doing stupid things wont get you anywhere... labda kuliwa ndogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…