mke wa mtu hanihongi tena

Keshakuambukiza vidudu huyo.. anakuandalia fungu la mwisho la diet then akwambie umkome.. kama unabisha nenda kapime
 
mkeo nini

Haaah!
Hawezi kuwa, maana wangu hana virusi vya kusambaza kama anavyokusambazia huyo mama.
Itakua kaanza kuzigawa kwa ----- mwingine kama ww, endelea kusubiri suprise ya jeneza
 
Kuna post ya binti anatafuta mume humu ndani, ana kazi yake kabisa hivyo usihofu, jaribu kum PM usije kufa njaa mjini, maana kipato chako mwili wako.
Akikuzingua nenda zako hata uwanja wa fisi, maana ulipofikia huwez shindwa kujiuza
 

hunataka ushauri gani nahunajua kabisa mungu hapendi huwo uchafu huliokuwa mnafanya (KIJANA HUNA AKILI) husirudie tena kuhandika huu hupuhuzi hii sio FACEBOOK
 
Sitegemei mtu na akili zake atambe hadharani kwamba anatembea na mke wa mtu. Ama atakua anatania tu na kutafuta umaarufu au atakua kichaa..!! Hiyo ni dhambi kubwa ambayo hata Mungu hawezi kukusamehe kwa sababu YEYE Mungu hadhulumu haki ya mtu. Kama kweli utafanya hivyo jutia kutoka mda huu, ili kuepusha maisha yako. Vinginevyo hakuna mtu atakushauri positively kama ambavyo ungetegemea. Hata hao masharobaro wenzako hawataku-support kwa hili. Ngoja ukue, utie akili, umiliki wa kwako, ndio utajua ni kwa kiwango gani ulikuwa unafanya dhambi hii. Period
 
mwuulize mshahara wako wa kila wiki....ukizoea kuhongwa jiandae kugegedwa
 
Kila mtu ana haki ya kusema atakacho mradi havuki mipaka
Hapa nimetoa duku duku langu kama unaona uzi haufai basi pita pembeni
 
Labda anataka kukununulia gari

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ukija shikishwa ukuta twambie mabasha wa kukulea pia tupo.
 
Keshapata mwenye mapafu ya mbwa anachapa hadi bibie anatapika
 
lolz..................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S-fire1:
 
Ndo biashara yako ya umalaya umeisha itabidi umtafute mteja mwingine

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…