iron finger
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 358
- 221
naombeni ushauri wakuu
wakuu vipi mimi ni kijana mwenye bahati ya kupendwa na mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya TBL.
ukweli wa mungu ananipenda sana.maana nampa mapenzi ambayo yeye mwenyewe anadai hajawai na haamini kama atakuja kupata tena kwa mantiki hiyo amekuwa akinihonga pesa nyingi sana kila wiki.
lakini kwa sasa amepunguza kunipa pesa anadai kuna mipango mizuri na ma suprise kubwa sana anataka kunifanyia ambayo itakuwa ya pesa nyingi mno.
kwa hiyo wiki ya tatu sasa sijapata pesa ni kawaida kupewa laki tatu kwa wiki hali hii imeanza kunikera kwa kweli.
naombeni ushauri wadau nimfanye nini huyu mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu
ataniua
Hivi na ww ni mwanaume?
Kuna watu huwa hawaamini kama wanaweza kuanzisha thread ikachangiwa, sasa kwa kuwa hawana uwezo wa kuandika kitu cha maana basi hutunga hadithi za maudhi.
akikuua atapata dhambi kwa mungu
Ataniua
Kambaku nimeipenda hiyo, heee!! mbn watu wanapost nonsense, kijana jaribu kufind ur own life, huyo mama akijakuaga dunia utaishije? na wewe ukija kuoa mke wako utamtunzaje? jibu hayo maswali then ntatoa ushauri up on u.
Mi huwa sielewagi mwanaume anaehongwa na mwanamke na mwanamke anaehonga meanaume.. Wote ovyooo!... Get a life!