Mke wa mtu ananing'ang'ania

Eti usije ukarogwa...utarogwa mara ngapi kwani?
 
Baba cha mtu "Mavi".achana naye kwa wema na nenda Nyumba za Ibada Ukatubu na uombe msamaha kwa Mwenyezi Mungu.Tamaa ilimponza fisi.
 
Dah! Samahani wewe ni mvulana au? Kwa nini usiwe na msimamo uliokamili? Angalia unavunja ndoa ya watu halafu bado huzingatii msimamo wako kama mwanaume.shikilia msimamo wa kuachana naye
 
Mbona Hakuna shida. Muoe Kabisa... Afu siku akimpata mwengine. Nawe utaachwa zamu yako ikifika
 
Dah! Samahani wewe ni mvulana au? Kwa nini usiwe na msimamo uliokamili? Angalia unavunja ndoa ya watu halafu bado huzingatii msimamo wako kama mwanaume.shikilia msimamo wa kuachana naye
Mwanaume tena wa shoka kuandika hapa sio kwamba sina msimamo ila najua matatizo kama haya yanawakuta wengi nna mademu zaidi ya 8 michepuko hiyo na wote hawanibabaishi
 
Mwanaume tena wa shoka kuandika hapa sio kwamba sina msimamo ila najua matatizo kama haya yanawakuta wengi nna mademu zaidi ya 8 michepuko hiyo na wote hawanibabaishi
Chagua moja kwani maamuzi yako ya leo ndiyo faida/hasara ya kesho yako.
 
"...afrika mwanaume huingia kwenye matatizo kwa sababu mbili tu, wanawake au pesa..."

J J wa Jamiiforums
 
Mwanaume tena wa shoka kuandika hapa sio kwamba sina msimamo ila najua matatizo kama haya yanawakuta wengi nna mademu zaidi ya 8 michepuko hiyo na wote hawanibabaishi
Ningekua wewe kama nina watu zaidi ya 8 nisingekua hapa kuomba ushauri, wangekua wamenipa uzoefu wa kutosha kujua nashughulikia vipi hili swala.

Lakini kwakua umeleta hapa, hapa naona vitu vitatu ama unadanganya unachangamsha kijiwe, unajipigia promo au utoto mwingi.

Either way grow up get a life man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…