Mke wa mtu ananiganda

Achana nae huyooo, by the way ni. Amri ya sita muuulize yule mwenzako wa kawe
 
IKIWA MUNGU ANAKUONA KWA NINI
UFANYE MADHAMBI KWA KUJIFICHA?
JUA JENGO LA LODGE HALIMZUII
MUNGU KUONA UCHAFU WENU, JUA
JENGO LA LODGE HALIMZUII MUNGU
KUSIKIA MADHAMBI YENU!! JE
UNAJISIKIAJE PINDI UNAPOFANYA HUO
UCHAFU KWA MKE WA MWENZIO? JUA
KILA BAYA UTENDALO KWA VIUMBE
WENZIO LITALIPWA KTK NJIA HIYO HIYO
ISIPOKUWA UKIACHA NA
KUTUBIA.....MUNGU HUSAMEHE DHAMBI
ZOTE HEBU TUBIA EWE RAFIKI YANGU
 
Huwa siko tayari kushiriki na mke wa mtu, labda atoke mkoa tofauti na ninapoishi.
 
Eti Mungu si Athumani ombi langu limekubaliwa! Unamshirikisha Mungu kwenye uzinzi?!!
 
....Hawa watoto wa shule sijui wanafanya nini humu.
 
usijifany mjanja wakat upo kweny UJINGA ULIO TUKUKA
 
Staki kuamini kua hujui kama unafanya kosa,ila kama shetani amekupitia mara moja usikubali akupitie tena,na daima kwenye maisha yako yote kabla hujafanya jambo baya fikiria jee ingekua ni mimi ningejisikiaje? usimfanyie mtu mabaya na hujui huyo mwenye mke ana moyo wa aina gani huenda akamuachia mungu ila malipo yake mabaya na huenda pia akakufanya mambo mabaya ukajuta maisha yako,sasa niafadhali ukamwambia huyo mwanamke wewe huwezi tena kuendelea na Uchafu huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…