Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..
issue kubwa Age,mke wa mtu si issue coz yuko tayar kuachika (divorced).
ata akijua anitishi kwa chochote, yeye pia unawez kuwa mwsho wke.Nataka kumtema coz alinidanganya na si kwasababu ni mke wa mtu,ata mm anawez kuwa mke wngu kwan ndoa nini si makatasi tu.Mwenzake huku mwanza naubabe wake kaliwa mpaka utumbo Nje kisa mkewamtu kaka jiandae ku f I r wa nakwambia umeshauriwa unaleta ubabe?mkewamtu sumu pia hatakama itapita miaka mingapi hutaishi kwaamani coz jamaaa atazipata tu na ndio utakuwa mwisho wako.
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..
Nina uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.Kipindi tunaanza uhusiano nlikuwa sijui kama ni mke wa mtu na yeye alinificha lakini nmekuja gundua ni mke wa mtu na nataka nimteme,tatizo sasa demu hataki anadai yuko tayar kuachana na mumewe ili awe na mm! Mm simtaki coz amenizidi age xna kama miaka7.ushauri wako tafadhari..
Na wewe mgande tu.
HahahaHapo 0713 yako iko mashakani,kama vipi bora uikimbize mapema... Kwa kuachana na huyo mwanamke universal charger