Timiza wajibu wako kitandani na matunzo ya familia. Hayo mengine achana nayo unaweza ukawa unajistukia tu kwa kitu ambacho hakipo.
Wenzetu huko majuu weekend kama leo anaweza kukwambia anataka kutoka na rafiki zake wewe ubaki nyumbani sasa kwa miwivu ya kibongo sijui utajinyonga.