UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,019
Nini zaidi ya hayo niliyosema kuwa na wasiwasi na mke ni vyema kumpa live au kumwambia kwa mafumbo nawasiwasi naibiwa na mfanyakazi mwenzake
Khaaaaa
Utashindwaje kukaa na mke wako
Mwenza wako
Mama watoto wako
Ubavu wako
Asali yako ya moyo, na kuzungumza kinagaubaga????
Really????
Jamani msaada. Hivi ukiwa na mkeo tena mna watoto wawili na mwanzoni ulikuwa unamwamini sana ila sasa unakosa kumwamini kutokana na vitabia flaniflani unafanyaje je unaweza kumwambia live au kwa mafumbo na impact ya kumwambia live nini