Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

lion iron

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
318
Reaction score
232
Poleni kwa majukumu wakuu.

Kakangu ni mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya biashara zake.na ninakoishi mimi na kakangu ni kama mita 80.na sababu ya mimi kwenda kuishi pembeni kidogo na kakangu ni baada ya kumtambua tabia ya shemeji yangu kunitaka kimapenzi,sasa amekua na tabia yake ya kuniita kwake baada tu ya yeye kusikia nimesharudi kutoka kwenye mihangaiko yangu,sasa ninapofika kwake anaanza mitego yake,( nadhani mnajua mitego ya hawa wanawake).

Hii ndo kali kali zaidi,jana kakangu kanipigia simu,ananiomba niende nyumbani maana amepigiwa simu na wife wake kuwa mtoto anaumwa niende na kama atakuwa na hali mbaya nimkibize hospital,na ilikuwa mida ya saa tano usiku,kufika home kwa bro nikamkuta shemeji yangu yuko mezani anakunywa wine,na anajua napenda sana wine,(na mtoto alikuwa cyo mgonjwa ni ujanja wa shem tu),kumbe mle kwenye wine aliweka dawa (vayagra) ndani ya dakika kumi hivi mshipa ulikuwa na hali mbaya zaidi.kilichotokea siri ya shemeji yangu. Hiki kitendo kinaniuma sana alafu namueshimu sana bro.naona tu nimwambie bro.ushauri
 
kaage kwanza ndugu zako wote kisha nenda chachi ukaungame dhambi zako ili ufike mbinguni kwa baba salama salmini.
 
Ndio ulichowaza usiku kucha uje kuandika asubuhi hiki?

Unaona kila mtu ana akili kama zako humu JF?
 
Halafu huyo kaka yako yupo hapa jf anasoma uzi wako kama ushamla wife wake. Kwenye wine kaweka kishetani anaitwa viagra. Lazima mzinzi atatafuta sababu ya kusingizia tu.
 
Mtafute msaga sumu ni mtu mmoja peace sana afu anajua nna ya kuhandle vitu vya kupuuzia km hivi.
 
Unauhakika gani kama kaka yako hayupo humu? Watu wengine bhana, unajieleeeza mpaka mtu anaweza kukutrace na kukupata. Ujinga tu
 
Eti ananitaka kimapenzi wakati ushafanya upuuuzi wako shetani mkubwa naomba kaka yako ajue vijana wa siku hizi bangi zitawamaliza
 
Mwanamke anaweza kutembea hata na ukoo mzima na rafiki zake halafu hata miaka 10 akabaki na siri wala msijuane.
 
Back
Top Bottom