M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 914 Jun 10, 2011 #1 Mke alimwambia mumewe azibe dirisha la chooni kwa kuogopea wanaume wasije wakamchungulia anapooga. Mume akamjibu liache tu wao wenyewe ndio watakao gharamika kuliziba.
Mke alimwambia mumewe azibe dirisha la chooni kwa kuogopea wanaume wasije wakamchungulia anapooga. Mume akamjibu liache tu wao wenyewe ndio watakao gharamika kuliziba.