Manyallaboy
Senior Member
- Jul 26, 2015
- 194
- 78
wapendwa tuna mwaka mmoja kwenye ndoa lakini imegundulika kuwa mke ni POSITIVE na mume ni NEGATIVE. Mnanishurije wadau mie nimeshindwa cha kufanya
Hizi Case ni nyingi mnoo siku hizi...Wafa ushauri wa Dkt....Ila ziko nyingii issue za iv now
Wapendwa,
Tuna mwaka mmoja kwenye ndoa lakini imegundulika kuwa mke ni POSITIVE na mume ni NEGATIVE.
Mnanishurije wadau mie nimeshindwa cha kufanya.
Wapendwa,
Tuna mwaka mmoja kwenye ndoa lakini imegundulika kuwa mke ni POSITIVE na mume ni NEGATIVE.
Mnanishurije wadau mie nimeshindwa cha kufanya.
Mbona hizo kesi ni nyingi sana, fata ushauri wa doctor mataishi na kuzaa watoto ambao ni negative. Kosa ulilofanya inaonekana hukupima kabla ya ndoa, na kama mlipima wote mlikuwa -ve basi mkeo sio muaminifu, so kimbia fasta.Wapendwa, Tuna mwaka mmoja kwenye ndoa lakini imegundulika kuwa mke ni POSITIVE na mume ni NEGATIVE. Mnanishurije wadau mie nimeshindwa cha kufanya.